Kaitaba, Kagera: Kagera Sugar 1 -2 Yanga Afrika

Full time bado wakuu, hizo dk3 zimeganda nini[emoji15] [emoji15]
Mkuu mpira umeshaisha, sema simu imekuwa nzito sana kwa upande wangu, hongereni sana watani kwa kuchukua alama zote tatu.
 
Mikia bhana imeshaingia mitini au network zinasumbua?

Wamenaki wachache tu wenye roho ngumu kama ya paka.
Mkuu hongereni sana kwa matokeo haya, kiukweli siku yangu imeharibika sana leo, roho inaniumaaaaaaaaa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…