Kaitaba, Kagera: Kagera Sugar 1 -2 Yanga Afrika

Tujikumbushe Baba WA Taifa ule mkutano wa Kizota alipokuwa anauliza.
Wale waliokuwa wanauliza mechi za Yanga mikoani wanamaswali naona hakuna tunaendelea
 
Toka ligi ianze yanga huwa anakuwa hivyo mwisho wa gemu inakuwa ushindi ama droo ko hata hao wanaokukuruka ama kucheza vizuri wanashindwa kuondoka na point 3
Sina cha kusema mkuu, nakubaliana na hoja yako hapa.
 
Pole mkuu ila wanaweza kata rufaa may be Yanga walicheza zaidi ya 11 au mchezaji alitakiwa atumikie adhabu lkn kachezeshwa
Leo siku yenu, semeni yote kwasababu kupata matokeo ugenini sio jambo dogo au rahisi mkuu.
 
Safi sana. Mdogo mdogo tutachukua ndoo tuliyowaazimisha Bi Hindu Fc
Semeni yote ila katika jambo ambalo nina uhakika nalo ni points tatu kwenye mechi tutakayokutana na nyie tena baadae hapo mwakani, siku hiyo ata muwe magolikipa 10 na mchezaji wa ndani mmoja tu ni lazima mtapigika tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…