Kaitaba, Kagera: Kagera Sugar 1 -2 Yanga Afrika

Wacha wivu wa kike weweee, pambana na shine yakooo, wakati sisi tukipambana na njaa yetu, ila mwisho atajulikana ni nani alikuwa na njaa.
Mkuu hongereni sana kwa matokeo haya, kiukweli siku yangu imeharibika sana leo, roho inaniumaaaaaaaaa sana.
 
Wacha wivu wa kike weweee, pambana na shine yakooo, wakati sisi tukipambana na njaa yetu, ila mwisho atajulikana ni nani alikuwa na njaa.
tatizo lenu ni moja ,mnaongea sana.
 
Sio kupata matokeo mazuri ugenini pia nitimu gani unacheza nayo na unapata hayo matokeo. Kagera sio timu ya mchezo mchezo hongera Yanga
Kweli mkuu! Kwa kumbukumbu hawa Kagera ndio msimu uliopita walitoboa tundu la mikia!
 
Naanza kumwelewa zahera

Anataka kutengeneza timu inayocheza kiteam bila kua na star wa timu.ni kitu kizuri sana
 
Naanza kumwelewa zahera

Anataka kutengeneza timu inayocheza kiteam bila kua na star wa timu.ni kitu kizuri sana
Sifa zote leo mtampa ila nina uhakika mwishoni mtamkimbiza tu au atakimbia mwenyewe kwa njaa.
 
Wewe Unataka tukae kimya ili iweje? OK fanya kama unajikuna basi
sijasema msishangilie ,nimesema muwe na kiasi,tatizo lenu mnashangilia kama ligi imeshaisha na mmetawazwa kuwa mabingwa wapya jambo ambalo haliwezi kutokea abadan.
 
Kaitaba stadium ni moja ya viwanja bora kabisa vinavyotumika kwenye ligi kuu nchini, narudia ni moja ya viwanja bora kabisa, dhana ya kupata matokeo mkoani inatokana na uhalisia wa viwanja vinavyopatikana huko.
 
sijasema msishangilie ,nimesema muwe na kiasi,tatizo lenu mnashangilia kama ligi imeshaisha na mmetawazwa kuwa mabingwa wapya jambo ambalo haliwezi kutokea abadan.
Hivi umewahi msikia Haji Manara mkishinda mechi anavyoongea. Mbona huwa humkatazi kumwambia ligi bado. Mkuu wewe kama unaboreka na shangilia yetu usiingie kwenye jukwaa hili.
 
Ha ha ha! Tulieni na kikosi chenu kipana, gari lisha waka hilo na breki halina
Muda sio mrefu mtaanza kuparuana, tumeshawazoea sana mbona.
 
Hivi umewahi msikia Haji Manara mkishinda mechi anavyoongea. Mbona huwa humkatazi kumwambia ligi bado. Mkuu wewe kama unaboreka na shangilia yetu usiingie kwenye jukwaa hili.
Mwanipa jaka moyo wakuu, leo yenyewe sina raha kabisa.
 
Semeni yote ila katika jambo ambalo nina uhakika nalo ni points tatu kwenye mechi tutakayokutana na nyie tena baadae hapo mwakani, siku hiyo ata muwe magolikipa 10 na mchezaji wa ndani mmoja tu ni lazima mtapigika tu.

Siku hiyo Yanga watampanga KINDOKI na atamaliza mechi ..hakuna subsititution ...
 
Kaitaba stadium ni moja ya viwanja bora kabisa vinavyotumika kwenye ligi kuu nchini, narudia ni moja ya viwanja bora kabisa, dhana ya kupata matokeo mkoani inatokana na uhalisia wa viwanja vinavyopatikana huko.
mkuu kaaa ukijua kwamba hakuna uwanja usiyo bora sema tu jitihada zako ndizo zitakufanya ushinde.....sijui kama uliona mechi kati ya lipuli na simba naweza sema wote ile siku walikuwa wamelewa maaana ule ni uzembe uliopitiliza narudia tena ni uzembe uliopitiliza ushindi popote bhana mwenzio akifanya vizuri mpongeze hata kwa kinafiki bhana young africans is the best one
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…