Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ndio huyu anastahili kubembelezwa kwa kweli.Bi. Kaitesi mwenyewe ndo huyu mama mtoto wake. I hope amemuimba kwa mazuri maana kipepo cha udhalilishaji wa wanawake bado kiko hewani.View attachment 761879View attachment 761881
Wanawake bhana wanasumbua kusema kweli hasa hao waliojaaliwa muonekano mzuri machoni pa wengi wanasumbua sana yani.Bi. Kaitesi mwenyewe ndo huyu mama mtoto wake. I hope amemuimba kwa mazuri maana kipepo cha udhalilishaji wa wanawake bado kiko hewani.View attachment 761879View attachment 761881
Msimfananishe Aslay na uchafu tafadhali!Hivi Mboso ndiyo mlikua mnamshindanisha na Aslay au tumngoje mwingine???
kwani team kiba100 ? lazma muwachukiy kila anayejiunga na wcb?Hivi Mboso ndiyo mlikua mnamshindanisha na Aslay au tumngoje mwingine???