Kaitesi: Ingizo lingine la Aslay

BRN

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2013
Posts
5,188
Reaction score
6,633
Aslay hizi sasa sifa aisee...yaani nyimbo zako zinafunikana zenyewe.Leo ametoa wimbo unaitwa Kaitesi.
Hongera kijana kwa kazi mzuri.
 
wale wazee wa kuachwa wimbo wa kuombea msamaha huo.
 
Bi. Kaitesi mwenyewe ndo huyu mama mtoto wake. I hope amemuimba kwa mazuri maana kipepo cha udhalilishaji wa wanawake bado kiko hewani.
 
Napenda amefanikiwa kutengeneza aina fulani ya mikito na ridhimu ambayo inamtambulisha
 
Bi. Kaitesi mwenyewe ndo huyu mama mtoto wake. I hope amemuimba kwa mazuri maana kipepo cha udhalilishaji wa wanawake bado kiko hewani.View attachment 761879View attachment 761881
Wanawake bhana wanasumbua kusema kweli hasa hao waliojaaliwa muonekano mzuri machoni pa wengi wanasumbua sana yani.

Mimi wa kwangu nilishaamua kumpuuzia baadhi ya mambo ili maisha yaende maana kero zilizidi.
 
Tatizo huyu dogo habadirik kila nyimbo ni kulialia tu.
Mkuu huo ndio utambulisho wake, halafu mara nyingi anaimba mambo ya mapenzi ambayo asilimia kubwa ni kulizana na kubembelezana.
 
shikamo asileyi ...lakini umekumbuka kuyaliipia matangazo ?
 
Reactions: BRN
Huyu dogo naona idea na melody zinajirudia inabidi azigeukie nyimbo za kuchezeka la sivyo watamchoka.
 
Zinafunikana zenyewe, hahaha
 
Reactions: BRN
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…