Kaizer Chiefs hali mbaya, anaweza kucheza playoff

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001


Acha na stori za Yanga na serikali ya kiujanja-ujanja. Twende tumzungumzie mpinzani wa Simba Sc robo fainali.

Hii timu ina hali ngumu sana na kuna kila dalili za kucheza playoff ili ibaki ligi kuu. Yeye na timu ya pili kutoka mwisho wanapishana point 5 tu.

Kocha wao amewaambia mashabiki waache mdomo hakuna mtu aliyewekewa bunduki kushabikia Chiefs.

Hii habari iwafikie Utopolo wasijiangaishe kuunda kamati topolo la mapokezi

Simba Nguvu Moja
 
Kaizer Chiefs na Orlando Pirates ndizo Simba na Yanga za South Africa.

Huwa zinacheza Soweto Derby. Na
Zina pressure sana ndio maana unaona kuna kujitetea hapo.

Sulala kufanya vibaya, huwezi kuconclude kwamba team iko vibaya, hata ugumu wa league unachangia pia

 
Never under estimate your opponent.
 
MIKIA BANA mmeahirisha mechi lengo mwende huko kwa kaizerchief tumegundua janjajanja zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…