Hivi Kaze kaachana na Yanga?Ni wazi kuwa dili la Nabi na Kaizer Chiefs limebuma. Kaizer Chiefs watangaza kocha mkuu mpya
Kwanini Azam na sio SimbaNABI anapitia wakati MGUMU mno...
Azam Wana KOCHA msenegal.
Ila nawashauri Azam wamchukue NABI atawavusha....
ana ofa nyingi sanaNi wazi kuwa dili la Nabi na Kaizer Chiefs limebuma. Kaizer Chiefs watangaza kocha mkuu mpya
======
Katika ukurasa wao rasmi wa mtandao wa Instagram, Timu ya Kaizer Chiefs wametanaza rasmi uteuzi wa Molefi Ntseki kuwa Kocha Mkuu kuanzia sasa.
Pia soma - Nabi na Kaizer Chiefs ngoma bado ngumu
nabi hakuvunja mkataba,bali alikataa kuongeza mkataba baada ya kuishaKaze na yeye alijifanya kuvimba baada ya Nabi kuvunja mkataba
Yeye hakusoma alama za nyakati.Kaze na yeye alijifanya kuvimba baada ya Nabi kuvunja mkataba