njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Haya wajameni simba lunyasi inajulikana ni hatari sana Kaizer chiefs walionusurika kutolewa mwaka jana baada ya simba kunyimwa penalt kwa konde boy kuangushwa ndani ya sita wanajua moto huo
Wamewapa onyo ndugu zao kwamba kesho wajiandae kuvuta pumzi ya moto walisahau tu kuwammbia kwamba huku kuna kamati ya mapokezi wataikuta uwanjani hata kama airport walipishana nayo
Wamewapa onyo ndugu zao kwamba kesho wajiandae kuvuta pumzi ya moto walisahau tu kuwammbia kwamba huku kuna kamati ya mapokezi wataikuta uwanjani hata kama airport walipishana nayo