Kaizirege and Kemebos wameanza kutoa huduma ya usafiri Dar - Bukoba

Hawa Jamaa wanamiliki Shule. Nadhani wameamua kuitumia hii fursa wakati wanafunzi hawana matumizi kuliko mabasi yakae yasubiri tu misimu ya likizo na kufungua shule...

Kwa vile Katarama ana mabasi route hiyo, basi wengine wasiweke mabasi mkuu?
Sio hivo kwanini muanze kugambania abilia wale wale wakati kuna watu sekita hazina ushindani mkubwa.
 
Wahaya kwa kupenda kushindana ni noma, wanaka kuonyeshana mabavu, tayari Katarama ina Scania hizo route hizo, hapo watagawana abilia wale wale kwanini adianzishe meli ndogo ndogo za kuenda visiwani mpaka mwanza?
Resources alizonazo ni school buses, ambazo kaona fursa ya abiria wengine pia. Maumbile ya dunia ni ushindani
 
Wahaya kwa kupenda kushindana ni noma, wanaka kuonyeshana mabavu, tayari Katarama ina Scania hizo route hizo, hapo watagawana abilia wale wale kwanini adianzishe meli ndogo ndogo za kuenda visiwani mpaka mwanza?
wewe kwa nini usiende kununua Boti ukafanya hio kazi? Masikini tuna nyodo sana, kujifanya tunajua kuliko tajiri mwenyewe. Huo ushindani kwani hajauona?;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…