Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Take it easy To yeye potezea tu.Ni kama nakuvumilia afu naelekea kushindwa....vizuri...huu Uzi wa pili mkuu unanijibu utakavyo
Pamoja sana mtu wangu wa nguvu 🙏👊Am in love with you man..... Barikiwa sana
AminaPamoja sana mtu wangu wa nguvu 🙏
Mnatetewa wew unapindshaNiache kuruka na kuserebuka nianze kutafsiri maneno....mi Sina muda huo Kwa kweli [emoji855]
Mtu akiridhia sio kitu kibaya, ila mstari huo unaonesha alikubaliana na mmoja, akafika akakuta mob, ambayo ni ubakajiTatizo ni lugha tu,lakini 3some au 4some ndiyo hiyohiyo MANDE,na madada wanafurahia,nashangaa wewe unavyosema wanadhalilishwa,utadhani hujui hayo mambo ni kawaida na madada na akina kaka wanainjoi.
Kuna dada namjua,anao uwezo wa kupigwa na wanaume sita yaani six,nayeye anainjoi,sijui unashangaa nini?
Acha kujifanya hujui.
Ukute alikubaliana na mmoja,akakuta wapo wengi na akaridhia apigwe na wote.Nimekwambia kuna mdada anapigwa na watu siyo chini ya sita,na anainjoi tu.Mtu akiridhia sio kitu kibaya, ila mstari huo unaonesha alikubaliana na mmoja, akafika akakuta mob, ambayo ni ubakaji
Unamwamini mwanaume anapomtetea mwanamke? Yaan hapo ndo anasanua hata ambao hawakuujua wimbo wakautafute mkuuMnatetewa wew unapindsha
3 SOME
Ukielezwa hautaijua ila ukiijaribu utaijua.Kwani mande ni nini?
Ukielezwa hautaijua ila ukiijaribu utaijua.
Tena kwa age ya G.nako ni upuuzi mtupu.Jamaa wanavyoongea utadhani majumbani mwao hakuna wanawake kina mama dada wadogo wa kike. Infact jamaa ni washamba sana
Sasa utakijuaje bila kukijaribu, nenda gheto uwaambie unataka mande.Sasa najaribu kitu ambacho sikijui
Kamuulize 'Shamira Mhangasa' anaetaka wanawake wakiolewa walipwe sasa km MALIPO wanaume wamejichanga wakampa yeye kwanini asipigwe mande?Je, unaujua wimbo gani mwingine ambao una mistari ya kusifia unanyanyasaji dhidi ya wanawake?
Sasa utakijuaje bila kukijaribu, nenda gheto uwaambie unataka mande.
Ni nyimbo tu km nyimbo zingine ,'kupigwa mande' ni lugha fichi ikimaanisha kaja kuanzisha vurugu kapigwa na kikundi, kosa lipo wapi hapo au mule kwenye wimbo kamtaja mwanamke? Mbon mnapenda ku-generalize mamboTena kwa age ya G.nako ni upuuzi mtupu.
Kuna mtu asie jua nini maana ya kupigwa mande?Msemo wa tangu 93?Ni nyimbo tu km nyimbo zingine ,'kupigwa mande' ni lugha fichi ikimaanisha kaja kuanzisha vurugu kapigwa na kikundi, kosa lipo wapi hapo au mule kwenye wimbo kamtaja mwanamke? Mbon mnapenda ku-generalize mambo