Kuchezea nakos na watu wengi ndio chimbuko la msemo wa kupigwa mande yaan unachezea kichapo na watu wengi wanakupiga ukiwa peke yakoKuna mtu asie jua nini maana ya kupigwa mande?Msemo wa tangu 93?
Mande ni kitendo cha mwanamke mmoja kufanywa na wanaume zaidi ya mmoja kwa kupishanaSasa najaribu kitu ambacho sikijui
Kwani ungemtafuta direct ungpakatwa na jini au,wanaume tusimame na gender yetu,we are not favorite to gossipTunapenda muziki lakini mara nyingine kunakuwa na mistari ya kudhalilisha wanawake au kuchochea ukatili dhidi ya wanawake.
"Kaja gheto kapigwa mande" ni mistari inayopatikana kwenye wimbo wa wapolo wa Weusi, hayo maneno yakiwa ni maneno ya G-Nako, ambayo kimsingi yanasifia ubakaji
Serikali inazuia nyimbo zenye maudhui ya kukosoa serikali lakini inaruhusu maudhui ya kudhalilisha wanawake.
Je, unaujua wimbo gani mwingine ambao una mistari ya kusifia unanyanyasaji dhidi ya wanawake?
Gheto kumejaa mamende wengi tu ondoa shaka.Wakina nani mende, mijusi, godoro, tv, frige, mlango?
Umetumwa!Mande ni kitendo cha mwanamke mmoja kufanywa na wanaume zaidi ya mmoja kwa kupishana
Mande ni kitendo cha mwanamke mmoja kufanywa na wanaume zaidi ya mmoja kwa kupishana
Hiyo siyo mandeKupishana ukimaanisha anatoka kw mwanaume huyu alaf anaenda tena kwa mwanaume mwingine?
Aulizae ataka kujuaUmetumwa!
Ukute wamekuomba mje 2 yeye yuko poa ila dau liongezekeNa kweli kwa Wadada wa sikuhizi Mande sio kitu cha kuwatisha
Hiyo siyo mande
Gheto kumejaa mamende wengi tu ondoa shaka.