Kajala akanusha kumshtaki mama yake Wema

Kajala akanusha kumshtaki mama yake Wema

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,222
Reaction score
4,689
Kajala Masanja amekanusha uvumi ulioandikwa kwenye magazeti ya udaku kuwa amefungua kesi dhidi ya mama yake mzazi na Wema Sepetu kutokana kile kilichodaiwa kutukanwa na mama huyo kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa ya Wema mwishoni mwa mwezi uliopita.

FRONTAMANI1.jpg

Kajala ambaye amesema yupo busy na kazi zake binafsi, ameiambia Bongo5 hana ugomvi wowote na Wema kama watu wanavyozusha. “Hapana sijamfungulia mashtaka yoyote Mama Wema. Siwezi kufanya kitu kama hicho mama ni mzazi, mzazi kama mzazi huwezi ukasema umrudishie kitu,” amesema. “Mzazi anaweza akakutukana akakufanyia nini lakini still atabakia kuwa mzazi. Sina ugomvi wowote na Wema, hayo mambo sasa hivi hayapo ni kazi tu.”

1389132_803381699682221_904009838_n.jpg
 
Kajala ametumia hekimaa na busara,mzazi ni mzazi wakae na Wema wayamalize watu wanafurahi kuwaona wakigombana.
 
Safi

Ingawa jana kuna clip ilirusha huko ig "inasemekana" (maana ni sauti) kuwa kajala, koko na wengineo walikuwa wanamteta vibaya wema....

Natumaini atakanusha na hii

Ili shigongo aendelee kuuza magazeti
 
Na mie niliiona hiyo....

Dramas kibao jamanii
 
Mie niliirudia.mara kadhaa

Ila sema sauti ya kajala siijui, hivyo sijui zile sauti ni zao au la....

Na mie niliiona hiyo....

Dramas kibao jamanii

Ila.kama ni zao noma kweli kweli

Anyway

Bila drama hawapati umaarufu
 
Mie niliirudia.mara kadhaa

Ila sema sauti ya kajala siijui, hivyo sijui zile sauti ni zao au la....

Ila.kama ni zao noma kweli kweli

Anyway

Bila drama hawapati umaarufu

Mie mwenyewe ikabidi nirudie mara mbili mbili maana sikuzielewa fresh zile sauti..

Sie watazamaji tu sa hivi...
 
Kajala umejibu kistaarabu sana mama ni mama tu kuto foutiana kupo kila mahali tu
 
Ana busara, nimempenda bure..mzazi hakosei...nazi haishindani na jiwe...

Kajala endelea kuheshimu wazazi wa wenzio na Mungu atajaalia wako wataheshimiwa milele....
 
Kajala na wema.wote na wapenda..ugomvi wao haunihusu
 
Tutasikia mengi,kajala endea na maisha yako achana na mafala
 
Nimependa sana majibu ya busara kutoka kwa Kajala!
Nafikiri kuna watu walipenda na yeye atukane!
Safi
 
aliirusha nani nipe name nim follow

Dougiemasta

Sasa Jestina kashushiwa kipondo heavy na teamkajala kwa kuwarecord kina Kajala na wenzie wakati wanamsema wema na kuzisambaza...

Dawa ya wambea ndio kama hivyo sa hivi anaugulia maumivu
 
Pole yake jestina kwa kipigo

Ila uzuri wake ameonyesha jinsi kajala alivyo mnafiki

Na kuthibitisha kuwa bongo mavi wanaishi kwa kuuza mbunye

Haaa anasema kuna watu wanawachonganisha sasa pale maneno anatamka kwa kinywa chake wazi wazi.... unafiki haufichiki ati

Ila jaman Jestina nae si angepiga kimya tu, ajirudie zake majuu fasta
 
Dougiemasta

Sasa Jestina kashushiwa kipondo heavy na teamkajala kwa kuwarecord kina Kajala na wenzie wakati wanamsema wema na kuzisambaza...

Dawa ya wambea ndio kama hivyo sa hivi anaugulia maumivu

walikua wanazungumzia nini?!
 
Haaa anasema kuna watu wanawachonganisha sasa pale maneno anatamka kwa kinywa chake wazi wazi.... unafiki haufichiki ati

Ila jaman Jestina nae si angepiga kimya tu, ajirudie zake majuu fasta

Labda bado hajapata wa kumuhudumia.Au ndo tuseme bado anaomboleza
 
Back
Top Bottom