Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
Dougiemasta
Sasa Jestina kashushiwa kipondo heavy na teamkajala kwa kuwarecord kina Kajala na wenzie wakati wanamsema wema na kuzisambaza...
Dawa ya wambea ndio kama hivyo sa hivi anaugulia maumivu
Kajala na wema.wote na wapenda..ugomvi wao haunihusu
wamemuonea bhana kwani uongo?
Your back Bae.....
Wanamuonea nani?? Jestina ni kweli kawarecord halafu kampelekea huyo Dougie nae akazirusha Insta... baada ya hapo ndio kipigo kikafatia
we nae ukawa si ukawa, ccm si ccm hebu sema nani unampenda zaidi
Dougiemasta
Sasa Jestina kashushiwa kipondo heavy na teamkajala kwa kuwarecord kina Kajala na wenzie wakati wanamsema wema na kuzisambaza...
Dawa ya wambea ndio kama hivyo sa hivi anaugulia maumivu
Haaa anasema kuna watu wanawachonganisha sasa pale maneno anatamka kwa kinywa chake wazi wazi.... unafiki haufichiki ati
Ila jaman Jestina nae si angepiga kimya tu, ajirudie zake majuu fasta
Nani anaomboleza sijakupata fresh my dear
Jestina nasikia kaachika kwa huyo bwana aliyeolewa nae may be bado analia plus mume aliyezaa nae alifarika so majanga juu ya majanga
Jestina nasikia kaachika kwa huyo bwana aliyeolewa nae may be bado analia plus mume aliyezaa nae alifarika so majanga juu ya majanga
wamemuonea bhana kwani uongo?
She is fine actually very fine... Unless she has twin sister cause the one I know kipigo hajapewa..
Stop lying ✋✋✋ smh why post some shit you have no idea about? Umewachanisha wewe?au💃💃 bitch swerve#
Sawa Jestina...
Hahahaaa...
Stop lying ✋✋✋ smh why post some shit you have no idea about? Umewachanisha wewe?au💃💃 bitch swerve#
Leo kazi ipooo hhhhaaaa