Kajala Kamrithisha mtoto wake mirathi ya Udangaji

Waswahili bana, unaweza kuta ulikuwa unamtaka amekukataa sasa umeanza kumchafua kwa maneno ya uongo yasiyo na uthibitisho.
 
P Funk Majani, ni mwamba sana. Yupo kimyaaa kama vile hamuoni msimbe wake
TUNAJIFUNZA WANAUME...TUWE TUNAANGALIA WAPI TUNAPOWEKA MBEGU ZETU...

SIO KILA MWANAMKE ANA HAKI YA KUWA MAMA WA WANAO...HAJANYAMAZA KWA KUPOTEZEA...ILA INAMUUMA SANA...

NA HAPO HUWEZI ONA SERIKALI WALA USTAWI WA JAMII WALA MAMLAKA YOYOTE YA HAKI ZA WANAWAKE...

ILA BABA YAKE ANGEWEKA UTARATIBU WA KUMLEA MWANAE VEMA KWA KUMCHUKUA KUTOKA KWA MAMA YAKE, AKAMLEA VEMA KWA MAADILI MPAKA AKAMUOZESHA...MNGEONA HAO WANAHARAKATI WANAVYOPAYUKA...ILA SASA WAKO KIMYA KWELI. KWAMBA MAMA ANANYIMWA HAKI YA KUMLEA MWANAE...ILA SASA HIVI KIMYA.
 

Shida sio baba hapo. Mama amekuwa na influence kubwa sana kwa sababu kadhaa. Kulea sio kazi rahisi.
Hasa unapozaa na mtu asiyesomeka. Anajua hela tu mwanzo mwisho, na hazijawahi kujaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…