father-xmas
JF-Expert Member
- Mar 23, 2010
- 971
- 1,117
hebu kamuulize bwana nsembo
nasikia kala ndogo
aka bwana sembe
Nyie watu siwawezi kwa mabreaking news....my sympathy goes out to the beautiful blogger...anastahili huruma zetu kama yasemwayo ni kweli....
Hakuna cha sympathy...wat goes around comes around..Nyie watu siwawezi kwa mabreaking news....my sympathy goes out to the beautiful blogger...anastahili huruma zetu kama yasemwayo ni kweli....
Muwacheni dada wa watu na heshima zake. Wivu tu mjini hapa kisa kapata mume tena wa ndoa mwenye mahela yake....(hata kama ya sembe as far as tukienda kununua hakuna alama ya kutofautisha za sembe na zisizo na sembe). Mwaka huu shamimu amewakimbiza na atawakimbiza mbaya haters. Ombeni Mungu na nyie muangukie mihela na sio kuwa na chuki binafsi. Mama endelea na kampeni ya mambo ya kilimo dear MWISHO HATERS WATAKUWA BELIEVERS!!!!!!
Ukweli kabisa dada amewazidi wadada wengi wa mjini kwa utulivu wake, hekima na hana mda wa kipumbavu wa kujibizana kipumbavu....zaidi ya yote Mungu akammwagia mahela hayooooooooooo (hata mkiyatolea sababu kwamba ni ya sembe mbona zenu chafu za umalaya hamzitaji??) na kuwafanya asiwakauke midomoni mwenu. Kweli riziki mwanzo wa chuki. Mama mzungu et al mtahangaika sana dada wa watu yake yanamnyookea.........

Hehehe no offence meant lakini umenikumbusha heaven on desert lol.
Umbeya kazi, kwa hiyo kajala anachukuliwa na mume wa shamimu? Shamimu kaolewa na mdhungu? Manake nilimuona tu kwenye video anatukanana na sijui mange ama sinta.
Natanguliza samahani
good!!!
Shamim muzuri sana innocent,wife material in deed.
Mimacho imenitoka hata sijui nini kinaendelea tena....Uzi unamuhusu Kajala masanja hayo mengine yanatokea wapi tena.......Kina mama mna mambo nyie..............
Hahahahaha wanawake tuna mambo sie.
Muwacheni dada wa watu na heshima zake. Wivu tu mjini hapa kisa kapata mume tena wa ndoa mwenye mahela yake....(hata kama ya sembe as far as tukienda kununua hakuna alama ya kutofautisha za sembe na zisizo na sembe). Mwaka huu shamimu amewakimbiza na atawakimbiza mbaya haters. Ombeni Mungu na nyie muangukie mihela na sio kuwa na chuki binafsi. Mama endelea na kampeni ya mambo ya kilimo dear MWISHO HATERS WATAKUWA BELIEVERS!!!!!!
Ukweli kabisa dada amewazidi wadada wengi wa mjini kwa utulivu wake, hekima na hana mda wa kipumbavu wa kujibizana kipumbavu....zaidi ya yote Mungu akammwagia mahela hayooooooooooo (hata mkiyatolea sababu kwamba ni ya sembe mbona zenu chafu za umalaya hamzitaji??) na kuwafanya asiwakauke midomoni mwenu. Kweli riziki mwanzo wa chuki. Mama mzungu et al mtahangaika sana dada wa watu yake yanamnyookea.........
uwii mbavu zangu mie. wacha watuhabarishe na tusiyo yajua.Mimacho imenitoka hata sijui nini kinaendelea tena....Uzi unamuhusu Kajala masanja hayo mengine yanatokea wapi tena.......Kina mama mna mambo nyie..............