Kama penzi ni kitovu cha uzembe, jf ni kitovu cha umbea na habari motomoto. khah!
mwenzangu obagi tusndwe kupaka
less wigg nazo zitushinde
hahahahahha ahta umbea tu wa nani kalamba nani!ahahahhahahha mie huu walahi hunachi!
ubaya wa shamimu ni nini dear?wewe utakuwa mrs sembe mwingine maana mpo wengii.................povu limekutoka!
wivu wivu hee nan hana maisha yake hapa!
ukweli ndio huo what goes around comes back....! mjipange.
hebu kamuulize bwana nsembo
nasikia kala ndogo
Haahah!!! Shamimu sasa hivi anaozea segerea....Hunijui wala huwezi kunijua. Ukweli ulishasemwa....Shamimu ana shida gani na mtu?au ni chuki zenu tu? mumewe ni muuzaji basi wekeni ushahidi. Nawe wahi ukaki...to....mbeshe kwa baba/mama yako