Tembelea website ya TCRA kiu yako ya kutaka maarifa itakoma.Cybercrime Inahusu mambo gani hasa?
wasanii na kazi yao ni usanii
Mapenzi ya Kajala na Quick Rocka yamekuwepo kwa muda sasa lakini hakuna hata mmoja amewahi kukiri hadharani.
Hata hivyo penzi linaponoga, si rahisi tena kulificha. Ndio maana Quick ameamua kushare video Instagram inayomuonesha akipeana mabusu ya haja ya staa huyo wa filamu.
“How I dance HAPO na mama lao……mtoto kapiga 6kichwa mbichi kama mtoto wa shule (Tag her),” ameandika Quick kwenye video hiyo.
Asante mkuuTembelea website ya TCRA kiu yako ya kutaka maarifa itakoma.
Na hakumaliza pale mkuu, class mate wangu paledogo ananyonyeshwa mana nlimuacha pale PandaHill High School
Akiwa form one enzi hizo akiimba kwaya, daah kweli dudu halina umri
Hiyo muvi inaitwaje!
Alimaliza wap?Na hakumaliza pale mkuu, class mate wangu pale
Ivi uyu kajala si ana mtoto wa kike mkubwa tu, sas ana mjengaje mtoto wake uyo dah aisee
Mapenzi ya Kajala na Quick Rocka yamekuwepo kwa muda sasa lakini hakuna hata mmoja amewahi kukiri hadharani.
Hata hivyo penzi linaponoga, si rahisi tena kulificha. Ndio maana Quick ameamua kushare video Instagram inayomuonesha akipeana mabusu ya haja ya staa huyo wa filamu.
“How I dance HAPO na mama lao……mtoto kapiga 6kichwa mbichi kama mtoto wa shule (Tag her),” ameandika Quick kwenye video hiyo.
Mzee usiwe na shaka huo mzigo atapewa Mavoko muda si mrefu.Ingekuwa WCB ingeshachorwa katuni ya Mama anamnyonyesha mwanae.
Poa kijana, nasubiria nione.Mzee usiwe na shaka huo mzigo atapewa Mavoko muda si mrefu.