Hivi kama unajua unatoka na umevaa kinguo cha ajabu kwanini usibebe hata khanga ili ikusitiri ?
Ina maana kuwa celebrity ndio kila baya la kuushangaza umma ndio ulifanye wewee ?
Huo uchi upo wapi sasa? au nyuchi za siku hizi zinakaa kwenye magoti?
Hahahaaaaa uwiii umenichekesha mkuu
Acha kushabikia ujinga kakuchekesha kwa lipi kwani uchi mpaka uone papuchi mwili wa mwanamke unatakiwa usitiriwe ukitoa kucha na vidole vya mkono mwili wote wa mwanamke ni UCHI
Nyooooo nn wewe kamwambiee demuu wakooo ndio hausitiriii unatuambia sisi ili tufanyajeee ma.. v..weeeee
Acha kushabikia ujinga kakuchekesha kwa lipi kwani uchi mpaka uone papuchi mwili wa mwanamke unatakiwa usitiriwe ukitoa kucha na vidole vya mkono mwili wote wa mwanamke ni UCHI
Huo uchi upo wapi sasa? au nyuchi za siku hizi zinakaa kwenye magoti?
Nilijua tu lazima utajaa upepo coz huo ndo ukweli na wengi hampend kuambiwa ukweli jipili njema
mkuu hiyo ya kwamba sehemu yote ya mwili wa mwanamke ni uchi isipokuwa kucha na vidole inategemea imani ya mtu.
Saa unaniambia mm ili insaidie nini nmekwambia nataka ushauriii wakoooo ka umechukia njooo nikuharishie puan
Kwa ufupi mwanamke kila sehemu ya mwili wake ni uchi
Ungeona ungefurahi bila kuudhika?Mbona sioni uchiii mnaniudhiii