Kajala: Nampenda sana Wema, ila bado ana chuki na mimi

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja amesema hadhani kama ni rahisi kuwa karibu tena na staa mwenzake Wema Sepetu baada ya kugombana.

Kajala amekiambia kipindi cha The Sporah Show hivi karibuni kuwa bado anampenda Wema na kumheshimu.

“Mimi simchukii Wema, mimi nampenda Wema, kusema ningependa kurudisha urafiki na Wema inakuwa ngumu sana, kwa sababu yeye tayari anachuki na sijui ana chuki kiasi gani? Mimi nataka kusema ni mtu ambaye nampenda na nakaaga nasema namheshimu, ni mtu ambaye alinisaidia,” alisema Kajala.

Pia Kajala amekanusha kutembea na mpenzi wa zamani wa rafiki yake huyo hali iliyozua ugomvi baina yao na kusababisha mpaka sasa kutoelewana.



 
Tafadhali wenye hii hadhara mje huku. Naenda nyumbani jukwaa la siasa nitarudi huku baadae.
 
Mmmh wema amsamehe ila akae mbaliiiiiiiiiiiii
 

Attachments

  • 1432573288297.jpg
    47.6 KB · Views: 1,142
  • 1432573303812.jpg
    84 KB · Views: 1,083
  • 1432573320870.jpg
    68.8 KB · Views: 1,072
Kajala namsifu kwa kukumbuka alipotoka na alichotendewa na madame, ila awe makini akumbuke mapochi na mabegi alokua anabebeshwa.Hata akisamehewa sijui kwa kosa gani ambalo anajifanya analikana basi akae mbali, maana nayeye ni hatare kwa mabwana wa wenzake.
Ila aache unafiki, Ck ashapiga sana pale
Afu amwache DC wa watu ana mkewe japo afanye siri kaah!
Kajala wewe, kamtembelee mmeo segerea, alafu unapenda liboro fc la wanaume wa watu ivi inakuaga na asali au?
 

Ncheke mie, huyo mama ubaya si amsamehe mwenzie
 
Ncheke mie, huyo mama ubaya si amsamehe mwenzie

Yani mama ubaya anataka ku assume nafasi ya Umungu hapa tz!
Akikasirika tu anakununia, akiamka vizuri anakupenda.Akilala vibaya unalo.
Utabebeshwa mapochi na kushikiwa akili mpaka ujute, kamuulize Snura atakujibu nini maana ya kuwa rafiki wa Wema.
Ila kajala mnafiki sana.Yeye kweli alitoka na CK ila si alikua kesha achwa na Wema? Wema kitu kizuri kula na mwenzio mama.
Business class ulitakaa upande wewe tyyyuuu
 
Ivi utajisikiaje pale rafiki yako kipenzi, msiri wako, faraja yako baada ya kugombana kwa muda mrefu, akakuandia UJUMBE mzito wa kukuomba msamaha mbele za watu, halafu wewe bado ukashupaza shingo, then bahati mbaya siku zake za kuishi zikawa zimefika ukingoni, akatangulia mbele ya haki, yani akafariki mda mfupi baadae (Hatuombei hivyo ).
Je?

1. Utalia sana?
2. Utaenda kwenye msiba wake?

Unadhani ni maumivu gani huyo mtu atakuwa amekuachia? Hakika yatakuwa ni maumivu makali sana yatakayodumu maisha yako yote, utatamani ata ainuke dakika moja umkubalie msamaha wake ila haitawezekana, utakesha kwenye kaburi lake ila itakuwa kazi bure, hatoinuka tena, historia yake itakuwa imeisha. Utatamani kusikia ata sauti yake ya mwisho ila haitawezekana. Maisha ni mafupi sana apa duniani. Tupendane na kusameheana, leo nipo hai kesho nitakuwa maiti, utaichukia maiti yangu??

UJumbe wa kajala chini pichani
 

Attachments

  • 1432578105792.jpg
    86.6 KB · Views: 1,865
nae mnafiki,kwa nini asiwataje??!! Ili ionekane ye mstaarabu na hana uswahili bali Wema Sepetunga ndo mswahili??!!
 
Sina Uwezo wa kuhukumu mtu apa Dunia, lkn huyu Mwanamke Wema namna anavo jibu hii ishu ya kajala kwene kipindi na Diva muda huu nahisi anakosea sana na kuyakuza tu madudu yao, hawezi sema anahisi Kajala anatufuta kik tu haamini kama ni kweli anamanisha, Alicho taka yeye ni Kajala kumfuata wayazungumze kbla ya kupost insta, Anaweza kuwa sahihi ndio lkn kusema anahisi Kajala anatafuta Kik sio fair kabisa, Watoto wa Kike urafiki wenu kazi kweli kweli.
 

Kwnn asingemuomba msamaha kwa kumface anamuogopa ama? ??? Msamaha wa kutoka rohoni angemfata ndio ungekuwa na nguvu inst ni kutaka kujionyesha na kujitilisha huruma kwenye mitandao tangu lini mtu akaomba msamaha kwa msg.
 
Bora ameshtuka maana shigongo ana make pesa nyingi kupitia ugomvi wao
 
These people I can say it is too much sasa.Tuongee mengine ya maendeleo
 
Katika pitapita zangu za kuwaangalia watu maarufu Tanzania nathubutu kusema sijawahi kuona msichana ambaye ni mjinga ila anajifanya mjuaji kama wema na hii inaletwa na kujiona yy ni Mungu mtu kwsbb anapendwa sana na mashabiki basi anajiona ana kila sababu ya kusujudiwa...ukiongeza na sifa za kijinga anazopewa basi anatamani awe malkia wa dunia wakati sifa hizo hana wema si mzuri kuzidi kajala wema si mzuri kumzidi batuli asituletee upumbavu wake kwenye jamii ya watu wanaojielewa upuuzi wake awapelekee wanae kina petit
 
Wema na yeye ni profeshinali wa kutembea na waume za watu huyo ck si alikuwa mume wa mtu hadi mkewe akamfanyia fujo ikatangazwa mpk kwenye hekaheka akwedreeee zake au ndio ile mtenda akitendewa....
 
Happiness is part and parcel of healthy life. Maneno ya kajala yamenigusa sana please wema sahau yaliyopita
 

hivi na Kajala nae ni mzuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…