Kajala, Quick Racka ndani ya penzi zito

Kajala, Quick Racka ndani ya penzi zito

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
KWELI penzi ni kikohozi ! Mwigizaji wa sinema za Kibongo , Kajala Masanja na staa wa Bongo Fleva, Abbott Charles ‘Quick Rocka ’ wamedaiwa kuzama kwenye penzi zito licha ya wenyewe kutotaka watu wajue .

Mwigizaji wa sinema za Kibongo , Kajala Masanja na staa wa Bongo Fleva , Abbott Charles ‘Quick Rocka’ .

Madai ya penzi hilo motomoto yameshereheshwa zaidi baada Quick kutupia picha kwenye mtandao wa Instagram inayomuonesha akiwa amejichora ‘tatoo ’ kifuani yenye jina la Kajala na kuzua maswali mengi kwa mashabiki wao .

Mwanamuziki huyo alitupia picha hiyo huku akielezea kuhusu ‘shoo ’ yake anayotarajia kuifanya kesho Jumamosi katika Jiji la Mbeya ambapo watu wakaacha kuchangia kuhusu shoo hiyo , wakaanza kufurahia uhusiano wake na Kajala.

Baada ya kuinyaka picha hiyo huku vyanzo mbalimbali vikieleza wawili hao ni wapenzi, mwanahabari wetu alimtafuta Quick ili aweze kueleza kama wameamua kuweka mambo hadharani kwa staili ya mtandao, alipopatikana , alifunguka :

“ Mimi mwilini nimemchora mama yangu kwa sababu nilikuwa nampenda na kumthamini sana na kwa Kajala ni mtu ambaye nakubali kazi zake na kile anachofanya na ni watu ambao pia tunashirikiana kwa kazi mbalimbali za sanaa ndiyo maana nimechora jina lake ,” alisema Quick .

Kwa upande wake Kajala , alipoulizwa kuhusiana na kuchorwa jina lake kifuani na kuweka wazi kama wana uhusiano wa kimapenzi na Quick , alisema hapendi kuzungumzia suala hilo .“ Mimi nisingependa kuzungumzia chochote kuhusu hiyo ishu maana wajuaji wameshaongea mengi ,” alisema Kajala .
 
Kwahiyo Quick kijana mjanja kabisa huyu wa Mwanjelwa nae kaamua anza bemendwa kama Kiba.""?

Anywayz, atajijua.
 
Bongo movies sasa hivi ukijichora tattoo wanakupa mzigo kiulaini kabisaa
 
Quick Racka nilikuwa namuona mjanja kumbe ndo type zilezile za kina Mziwanda, hivi kweli unaharibu mwili wako tena kwa kuweka tattoo ya Malaya wa bongomuvi? Halafu yule Kajala si mtu mzima sana? Mi naona Racka size yake ni yule mtoto wa Kajala
 
Hivi kuna Quick Racka na Mo Racka au ............... na ni yupi huwa anayesuka nywele zake ????????? ( na huenda huyo kajala kavutiwa na kusuka, ila mimi namkubali sana Kajala )
 
kajala si ndo yale matapishi ya p.funk.kwahiyo quickracka ndo kaamua kuyalamba.kweli ulofa sometimes ni kipaji.
 
Kajala si anapigwa na huyu MAKONDA sasa huyo racka kafuata nn hapo
 
Hivi kuna Quick Racka na Mo Racka au ............... na ni yupi huwa anayesuka nywele zake ????????? ( na huenda huyo kajala kavutiwa na kusuka, ila mimi namkubali sana Kajala )

Quick racka ndo anasuka nywele, mo racka ndo kama shombe shombe yule
 
Duh wameanzia kwenye muvi ya "wake up" then wakahalalisha
 
Back
Top Bottom