Kajala, Quick Racka ndani ya penzi zito

Mxieeee!! Exclusive my foot, exclusive mwenyewe Nan? Akipeleke huko mxieee

Hahaha binamu kila mtu ana definition yake ya exclusive bana, kwa hiyo Inawezekana wote anaowadate ni exclusives according to her definition
 
Hahaha binamu kila mtu ana definition yake ya exclusive bana, kwa hiyo Inawezekana wote anaowadate ni exclusives according to her definition

Kanajifanya matawi wakati hata lulu anamshinda kimaisha mxieee, hana lolote, kusoma international schools na kiingereza chake basi anajiona beyonce kumbe shilole tu mxieee
 
Kanajifanya matawi wakati hata lulu anamshinda kimaisha mxieee, hana lolote, kusoma international schools na kiingereza chake basi anajiona beyonce kumbe shilole tu mxieee
Hahha bana binamu muache diva mzungu wa watu
 
Hahha bana binamu muache diva mzungu wa watu

Mbwa tu huyo, angekuwa mzuri asingehangaika usiku kucha kutangaza ndo apate mkate, wenzao uzuri wao wanautumia vzur hawafanyi kazi na bado wanaishi maisha mazuri kumshinda, ye sura imemkomaa kama magimbi ya kimbiji mchiuuu ataishia kutangaza mpaka anazeeeka mbwa huyo
 
Khaa binamu magimbi ya wapi teh
 
Yani hawa vijana sijui wengine sijui wakoje? na hawa wa bongo movie ndio sijui laana za waume zao au sijui kitu gani,ivi Kajala ukubwa alonao niwakumvulia nguo mtoto mdogo yule seriously? ivi nikukosa wakukushughulikia chumbani mtu mzima mwenzio ukajisikia na heshima yako ikawepo kuliko kuvuliwa nguo na mtoto bara amepata mtoto mwenzie wewe tena basi tena na kashfa telaa,wallah sikuzote naomba mwenyezi mungu anipe Akili na upeo wakupambanua baya na zuru,pesa ifate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…