Kajala: Sijawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Paul Makonda

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506


Msanii wa filamu za kibongo, Kajala Masanja amevunja ukimya na kufunguka kuhusu maneno yaliyokuwa yanazunguka mwa muda mrefu mitaani yakimtaja kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa nyakati tofauti na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda tangu akiwa DC wa kinondoni alipokuwa akishirikiana kwa karibu na msanii huyo kwenye shindano la kusaka vipaji vya wasanii wa Wilaya ya Kinondoni lililojulikana kama Kinondoni Star Search.

Katika mahojiano na mwandishi wa habari hizi, Kajala alipoulizwa kuhusu madai ya kuwa na uhusiano na Makonda, alijibu kwa haraka na kwa kifupi: “Hapana sijawahi kutoka naye kabisa. Hilo halipo.”

RC Makonda aliwahi kuzungumzia madai hayo akiwa bado Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, ambapo alisema ni propaganda zinazoelezwa na wabaya wake wa kisiasa ambao wamekuwa wakisaka mbinu za kumchafua kila kukicha.

“Ni muda mrefu tu, walianza kipindi kile wakati wa Bunge la Katiba nilipokwenda Bungeni na mwigizaji Yobnesh Yusuf ‘Batuli’, wakasema natembea naye, wakanyamaza. Sasa wamehamia kwa Kajala baada ya kufanya naye kazi", alisema Makonda.

“Hakuna ukweli wowote wanatungatunga tu mambo, watakuwa na sababu zao kwa sababu mtu kama Kajala, maneno yameibuka baada ya kufanya naye project ya kutafuta vipaji vya wasanii.“

"Nimeshirikiana na wasanii wengi wa kiume katika project hiyo lakini kwa kuwa wameona mwanamke ni Kajala peke yake, wanasema vitu ambavyo havina kichwa wala miguu. Najua kuna wengine wanaoeneza haya mambo wanatumika kisiasa lakini mimi sijali".

Source: Bongo Movie
 
Kajala anabisha tu hajui sikuhizi kuna shilawadu wananyaka matukio balaa. Tena si ndo ukapewa na u judge wa kinondoni talent search, bongo movie hamnazo kweli Ku recycle wanaume na huyo makondakta kahamia kwa wolper baada ya kutoka kwa JoJo. Jiheshimu kutembeza kote huko hamna mbele wala nyuma..
 
Una uhakika hayo maelezo yako yanaukweli msije mkawa mnaona watu wanashirikiana katika kazi mnaanza kuzusha wanamahusiano ya mapenzi mtakuja kuvunja ndoa za watu!
 
Hivi hawa wadada kila siku mnawasema wametembea na fulani na fulani wana kitu cha Kuja kuonyesha "uzee"?

Kule Bukoba" kina Mary Nairobi "walisomeshe watu hadi wakawa maprofesa na kuinua uchumi kwa kujenga nyumba na kununua mashamba.
 
Hivi hawa wadada kila siku mnawasema wametembea na fulani na fulani wana kitu cha Kuja kuonyesha "uzee"?

Kule Bukoba" kina Mary Nairobi "walisomeshe watu hadi wakawa maprofesa na kuinua uchumi kwa kujenga nyumba na kununua mashamba.
Wataonyesha sugu za papuchi, je wewe utaonyesha nini?
 
Una uhakika hayo maelezo yako yanaukweli msije mkawa mnaona watu wanashirikiana katika kazi mnaanza kuzusha wanamahusiano ya mapenzi mtakuja kuvunja ndoa za watu!
Duniani hamna siri ndugu hata huko kwa michepuko huonekana tu. Mtu ka hutaki matatizo kwenye ndoa kuwa mwaminifu coz shilawadu wako kila mahali
 
Mange kimambi alitutonya kuwa jamaa mzembe fulani hivi na ki lady finger chake!!!!

Msinirushie mimawe
 
kuna watu huwa wanaongeaga vituas if walikuepo wakati wanatiana au wakati wa tukio hilo linafanyika ukimuuliza atakwambia nilisikia watu wanazungumza..
 
Alikulaga aisee.. tena alikulaga kwelikweli na now kamtemea mbali baada ya kumuibukia Jokate! Ila kwa jojo kwakuwa anakula mifupa ya samaki niliyobakisha siyo mbaya!!
 
Kama makonda ulitoka na batuli dry basi uende ukapime mapema husije kumwambukiza mkeo, batuli kaungua kitambo
 
Aiseee mbona umeongea kwa uchungu namna hii au na wewe upo kwenye circle?!
 
Aiseee mbona umeongea kwa uchungu namna hii au na wewe upo kwenye circle?!
Mkuu wenye uchungu wako wodi wanajiandaa kufyatua mi circle ya kimalaya bongo movie ni sawa na mbingu na ardhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…