Kajala: Sijawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Paul Makonda

Kama makonda ulitoka na batuli dry basi uende ukapime mapema husije kumwambukiza mkeo, batuli kaungua kitambo
kwanini.usinge mtafuta makonda umweleze yeye mwenyew kuliko ulivyofanya kumwaga mchele
 
Ukiwa mtu mashuhuri na chaka la kujificha huna, haswa walinzi, wafanyakazi wa ndani, wahudumu wa guests na baa, pamoja na wafungua mageti ndio watakao kuumbua
 
Hata Late Kanumba alikataa hatoki na Lulu kilichofuata ITV kila mtu alijua.
 
Naogopa kuchangia huu uzi maana unamuhusu mwenyekiti kamati ya ulinzi... Nisijebambikizwa msala wa shisha bureee.... Kajala mungu yupo na anakuona.
 
Sasa mbona Kajala povu lilikutoka baada kuckia Batuli kapangishwa nyumba na chanzo cha ugomvi wenu mbona kinajulikana na mliokuwa mnamgombania anajulikana Mungu anakuona Kajala

Shilawadu nawaona shilawadu nawaona mnakula tu ubuyu
 
hehee ngoja ninyamaze tu...
 
Sasa mbona Kajala povu lilikutoka baada kuckia Batuli kapangishwa nyumba na chanzo cha ugomvi wenu mbona kinajulikana na mliokuwa mnamgombania anajulikana Mungu anakuona Kajala

Shilawadu nawaona shilawadu nawaona mnakula tu ubuyu
tunakula tu ubuyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…