Kajala: Siwezi kurudiana na P Funk

Kajala: Siwezi kurudiana na P Funk

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
kajala-5.jpg

STAA wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’, amekanusha vikali madai ya kurudiana na baba mtoto wake, prodyuza Paul Matthyasse ‘P Funk’.

Madai hayo yalikuja hivi karibuni baada mwanamama huyo kutupia kipande cha video katika Mtandao wa Snapchat kinachomuonesha akiwa na P Funk.

“Jamani siwezi kurudiana na P, yule atabaki tu kuwa mzazi mwenzangu. Hiyo video tulikuwa tumekwenda shule kumwona mwanetu, Paula, baada ya hapo kila mtu alichukua hamsini zake,” alisema Kajala aliyezaa mtoto huyo mmoja na P Funk.

Muungwana
 
P.funk bado anampenda sana huyu dada ila sijui Kajala alitendewa nini na huyu jamaa.

Nakumbuka mpaka Mtu mzima alimtungia wimbo akimuomba msamaha Kajala.

Kuna sehemu nilisoma jamaa. anasimulia alianza kuwa na Kajala huku Kajala akiwa na miaka 16.
Sehemu gani hiyo na Mimi nikasome
 
P.funk bado anampenda sana huyu dada ila sijui Kajala alitendewa nini na huyu jamaa.

Nakumbuka mpaka Mtu mzima alimtungia wimbo akimuomba msamaha Kajala.

Kuna sehemu nilisoma jamaa. anasimulia alianza kuwa na Kajala huku Kajala akiwa na miaka 16.
Inasemekana p funk alikuwa anamdunda sana kajala...hasa akishapuliza bangi zake
pia p funk alikuwa na mke mwingne mdogo, mbaya zaidi wote (na kajala) waliishi nyumba moja!
sasa kama mjuavyo wanawake na wivu ni kama uji na mgonjwa so ugomvi kila leo
 
Kuna uzi wa kitambo upo humu humu JF ukiongelea mtoto wa kwanza wa P.funk sio huyu Paula.
Ana mtoto mkubwa. Alizaa na binti mmoja hivi anaitwa Jackie. Huyo mtoto amekolea sana rangi na kufanana na baba yake. Huyu wa Kajala huwa najiuliza maswali mengi sana lakini sipati majibu sahihi.
 
Tumekoumba ulete huu ujinga hapa!??
 
P.funk bado anampenda sana huyu dada ila sijui Kajala alitendewa nini na huyu jamaa.

Nakumbuka mpaka Mtu mzima alimtungia wimbo akimuomba msamaha Kajala.

Kuna sehemu nilisoma jamaa. anasimulia alianza kuwa na Kajala huku Kajala akiwa na miaka 16.
umalaya Jamaa alikuwaga Malaya ile mbaya "" alikuwa anawala mademu humo humo ndani ambapo anaishi na kajala....kajala aliwahi kumfumania akiwa na ray c ...jamaaa alipita kwa rayc ..na mademu wngine mastaa staa kibao ..halafu ile kibabe babe sasa "" cwajua tena alikuwa anajifnya gangster ...na wakati huo alikuwa top of town Pesa inaongea ...kikubwa alichokisahau tu nikuwa Pesa hazinaga mwnyewe
 
Hivi huyu mtoto wa P Funk mbona hana 'shombo' hata kidogo ilhali Yeye ni half-caste?
 
Back
Top Bottom