Binamu naona upo kazin
Wema aache mashoga si atakufa yule anavyopenda umbea, uboss uchwara wa kubebewa mapochi na kucheza vigodoro
kajal nae anaanza kuniudh kujipendekeza kwa huyu kishumundu au clement kashamtema hana pa kula
Vita mcost ngoja na domo amteme ndo atajuta case ya kajala ingemfundisha angeanza ata ma business yake atakula huo ushoga siku zote na misare yao kama watoto wadogo
Kama ni kweli huyo kajala anatafuta kiki tu....
Kwani kupatanishwa na ugomvi kuisha ndio mfatane kama kumbikumbi
Vile hakualikwa alichubuka ngozi au siku zake za kuishi zimepungua?
Maselebtiti mavi ya kuku wote...

Wema kafuturisha jana kaalika wakwe, mawifi na utamu wake Bwana Platnum Diamond. Kapiga picha kamlalia mama mkwe miguuni mama mkwe amku
Mmh kashakuwa mama mkwe tena? Kwa ndoa gani? Ndomo na mama yake lao moja wale, wema kama anajihesabia ndoa atasubir sana. Mkwe mwenyew kila mwanamke anamkumbatia
Safari hii ndoa ipo maana diamond na mama yake wamefika bei kabisaaaa
Safari hii ndoa ipo maana diamond na mama yake wamefika bei kabisaaaa
Wema kafuturisha jana kaalika wakwe, mawifi na utamu wake Bwana Platnum Diamond. Kapiga picha kamlalia mama mkwe miguuni mama mkwe amku
Tuliambiwa ramadhan hii lazima waoane, watu wakarushiana michambo instagram na sare hewa wakajipangia had sehem ya kufanyia harusi, mi nikawa nawaangalia tu wanavyohangaika aya ramadhan ndo hiyo kiko wapi, waigize tu movie yao wakimaliza wakalale