Jamani kuuliza si dhambi...hivi ndoa ya kajala ndo imeshavunjika.??? Maana sielewi helewi...maana anatoka na kakijana kanaitwa petit menwakuacha(nick name)...kanafuga dread hivi....mwenye kujuwa kuhusu celebrity huyu...ndoa za kikristu zinavunjika kirahis hivyo...