Huyu mwanamke alibeba mimba mwezi wa 4 mwaka huu maana mara ya mwisho kuona siku zake ilikuwa tarehe 23 march na tarehe 6 amejifungua salama kabisa mtoto mwenye afya nzuri na ana uzito wa kilo 4.1 je, imewezekana vipi wakati makadirio yake yalikuwa tarehe 30/12 ina maana kashuka wiki tatu na nusu?