Rage alivyowaita mbumbumbu na hawa wanawapitia humohumo, halafu siyo WhatsApp ni Watsup.Hana aibu eti tunajivunia kuwa na Simba WhatsApp channel na tubaongoza Africa mashariki na Kati, pia wenzetu walikuwa wanaongoza Youtube ila sasa tumewapita.
Ukimcompare na Senzo na Babra huyu ni CEO wa hovyo waliompata Simba.
Kwa kipindi chake hamna la maana zaidi ya kiki kama za kipanda mlima Kilimanjaro na vibegi hawazi timu kufanya vizuri kwenye ligi na kimataifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kajuna,mtu yeyote mwenye meno ya vile halafu anqjichekesha chekesha huwa ni hovyoHana aibu eti tunajivunia kuwa na Simba WhatsApp channel na tubaongoza Africa mashariki na Kati, pia wenzetu walikuwa wanaongoza Youtube ila sasa tumewapita.
Ukimcompare na Senzo na Babra huyu ni CEO wa hovyo waliompata Simba.
Kwa kipindi chake hamna la maana zaidi ya kiki kama za kipanda mlima Kilimanjaro na vibegi hawazi timu kufanya vizuri kwenye ligi na kimataifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa umemrekebisha nini hapo...Rage alivyowaita mbumbumbu na hawa wanawapitia humohumo, halafu siyo WhatsApp ni Watsup.
Mafanikio ya Simba ni haya Kwa mujibu wa CEO.😀😀
AiseeeeRage alivyowaita mbumbumbu na hawa wanawapitia humohumo, halafu siyo WhatsApp ni Watsup.
Mafanikio ya Simba ni haya Kwa mujibu wa CEO.😀😀
Hiyo picha ni kweli Simba wameandika hivyo? 😅Rage alivyowaita mbumbumbu na hawa wanawapitia humohumo, halafu siyo WhatsApp ni Watsup.
Mafanikio ya Simba ni haya Kwa mujibu wa CEO.😀😀
Tunatetea maslahi ya chama letu Simba na siyo viongozi wapigajiNajua mkutano wa leo mmejipanga kupinga kila kitu nyie vyura, kwa hiyo fungukeni tu msiache
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Ni presentation hiyo imeandaliwa na CEO ...Hiyo picha ni kweli Simba wameandika hivyo? 😅
Wamezingua sana, kama presentation yao ilikuwa na hiyo slideNi presentation hiyo imeandaliwa na CEO ...
NB : Mbumbumbu anaandikiwa ki Mbumbumbu
Hahahahahaha si inaonekana kabisaWamezingua sana, kama presentation yao ilikuwa na hiyo slide
Hakuna ukimbi uliolipuka kwa shangwe, ilikuwa patashikaKama Wana Simba werevu wachache waliobakia hawakufanya jitihada za maksudi kumfuta mheshimiwa Ismail Aden Rage kuja kutoka hadharani na kufuta kauliyake, Basi kwa hakika atajengewa mnara, Viongozi wote mnao wapata watakuja na kujisifu kwa mafanikio ya dizaini hii.
Chakushangaza ukumbi wa mkutano uli ripuka kushangilia mafanikio tajwa.
Nikajisemea moyoni: Rage umesha iua timu yawatu[emoji2][emoji2]
Kwahiyo ulitaka aseme uongo? Pumbavu!!Hana aibu eti tunajivunia kuwa na Simba WhatsApp channel na tubaongoza Africa mashariki na Kati, pia wenzetu walikuwa wanaongoza Youtube ila sasa tumewapita.