Kaka alizinguana na mzee baada ya kukataa kusomea ualimu

Umeongea facts tupu mkuu. Ualimu ni laana ndiyo maana matukio wanayofanya walimu ni matokeo ya stress ya kazi yenyewe.

Fikiria kazi ya ualimu ni option ya mwisho kabisa baada ya mtu kufeli masomo yake ndiyo anaamua kwenda Ualimu maana hakuna kozi zingine za watu waliofeli.

Ndiyo maana aslimia 99 kama sio 100 ya walimu ni watu waliotoka kaya masikini kabisa.

Hakuna mtoto wa tajiri ama mtoto wa mtu wa kipato kinachoeleweka anayesomea Ualimu, bali utawakuta vyuoni wanasomea kada za Sheria, Udaktari, Uhasibu na kozi zingine kama hizo.

Kuna haja ya serikali kuwazingatia sana walimu kwenye maslahi ili waondokane na stress za kugombana na watoto wadogo mashuleni.
 
Ualimu huwezi kuendelea, utaishi maisha ya kawaida tu,,, !!
 
Mkuu hii picha kimtizamo wewe ni mwalimu ukiiangalia vizuri.
 
Kwanza Kwa uandishi huo unaonekana bado umechanganyikiwa na una afya ya akili😆😆 pole sana ila una uhakika la7 B ulimaliza kweli totoo?
 
Well said , kunywa thodaa
 
Haaa we jamaa umenichekesha sana
 
Kweli kabisa mimi ndiyo maana nimeamua kutafuta madaktari wafundishe watoto wangu tena nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…