kaka chuse hujambo, salamu kutoka Wazua Kenya

kaka chuse hujambo, salamu kutoka Wazua Kenya

mwafrika12

Member
Joined
Mar 26, 2012
Posts
7
Reaction score
0
dear kaka chuse

pokea salamu kutoka kwa members wa forum ya wazua huko 'ng'ambo' kenya. Ulitutembelea huko na mafujo siku moja ukatualika hapa jamii forum. Mimi nimejisajilisha ili tujadiliane na membas wa JF kuhusu maneno ya biashara, siasa, elimu na sana sana EAC.

i look forward to having nice discussions with you
 
Back
Top Bottom