Kaka dada acha tabia ya kuanika nguo zako za ndani bafuni

woiso woiso

Member
Joined
Feb 20, 2021
Posts
47
Reaction score
44
∆. DADA au KAKA yangu Ongezeko la fangasi za seemu za siri zimeshamiri sana katika kipindi hichi cha maisha ya utandawazi . Watuwengi wamekua na tabia ya kufua chupi boxa za ndani na kuanikwa kwenye vyoo vyetu vya ndani. Hili halijakaa sawa kabisa
∆. Kaka dada acha kbisa tabia ya kuanika nguo zako za ndani bafuni na chooni zinakauka unarudia kuzivaaa hili limekua tatizo kubwa la kuzaliana kwa fangasi na harufumbaya zinazotoka seemu za siri iwe kwa wanaume au wanawake
∆. Fua nguo zako za ndania anika juani . Jua lin kazi kubwa sana ya kuuwa bacteria pamoja na kukausha nguo kisawa sawa bila kuziacha na unyevu . Tuache hii tabia ya kufua nguo zetu za ndani na kuzianika kwenye vyoo vyetu vya ndani na mabafuni
 
Na mbona akina Dada wengi wanasema walishaacha kuvaa hizo nguo za ndani? Wengi hawavai nguo za ndani ila bado wanapata hizo fangasi. Unawaambiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…