Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
MIAKA 18-25
Umri huu wa wanawake walio wengi wao wanawaza masomo walioko shuleni ila walioko nyumbani wanawaza kuolewa wawe na familia
Wanaosoma wana taswira za kubwa baada ya masomo yao yaani waajiriwe waanze kupokea mshahara na wengine wanawaza KUENDELEA kusoma masomo ya juu kama digree, Masters, nk yaani hawa wengi wao wanawaza kesho zao za mafanikio ya kazi na elimu zaidi wanaogopa sana MIMBA kabla ya malengo yao ila wengi hawaogopi maradhi na wapenda mahusiano na watu wanaoweza kuwapa vitu, kuwahudumia mahitaji tu wao wanatoa mwili wao uutumie au wanadate na vijana wenzao wa chuoni/ mtaani
Ndio maana wengi wao wakipata mimbae wanapoteza focus na dira kabisa na wengi wao wanapata maradhi sana kwasababu wao hitaji lao ni kumaliza masomo bila mimba ila swala la afya kwao huwa hawajali na wengi wao wamechezewa sana mbele hata nyuma hawa watu kwasababu hawawezi kujisiamamia na waliingizwa kwenye starehe na anasa sana
MIAKA 26- 28
Hapa wapo wanawake ambao matarajio yao baada ya masomo yametiki na wengine yamegoma sasa wale ambao yamegoma wao wanatafuta mwanaume wa kumuoa mwenye kujimudu ili amhudumie au amfungulie biashara afanye hataki mwanaume wa chini na yule aliyemaliza masomo mambo yakajipa wao wapo katika makudi matatu nao hapa kama
A. Wapo wale wanaotaka waolewe yawezekana na wapenzi wa siku nyingi waliokuwa nao au wapya hawa wengi huamini katika famila na maendeleo na familia ni zawadi kubwa kwake
B. Wapo wale wanaowaza kwenda kusoma yaani wafanye kazi kwa muda wakasome tena wao hawana mawazo ya ndoa kwa muda huo
C. Hapa wapo wanaowaza wafanye maendeleo yao binafsi, wawasaidie ndugu zao kama kuwasomesha wadogo zake na familia mpaka isimame ndipo aolewe au afanye maisha yake.
MIAKA 29-35 kwenye kundi hili wapo wa aina
A. Hapa wapo waliokosea maamuzi na wapo waliochelewa kuolewa wenzao waliowaona wamewahi ndoa wana ndoa na mafanikio kama wao na wengine wamewazidi yaani wao wana watoto na kazi vilevile. Hapa ndipo wanaanza kutafuta ndoa kwa nguvu zote
B. Wapo single mom hapa waliozalishwa na kuachwa, wapo waliolewa wakashindwa ndoa ya awali, wapo walijipata kimaisha ila waoaji wanawaogopa kwasababu ya mafanikio yao waliyonayo kwahiyo ni wapweke sana hao watu
C. Wapo pia waliopigwa matukio mazito mpaka wakakata tamaa na maisha ya mahusiano wao wanajiona hawana bahati yawezekana ni makosa yao au yakusababishiwa na wale watu waliowaamini au la. Hawa wapowapo tu kwanz
36-44 Hapa wapo walio na ndoa bora na wale wa ungaunga mwana wao wameamua KUISHI bila ndoa na wengi wao wameingia kwenye makanisa ya KIROHO au kwa manabii huko kutafuta faraja na wanasema wameamua kumpa Mungu MAISHA yao ila kiuhalisia ni WAPWEKE na wana changamoto za KIAKILI kuliko changamoto za KIROHO hawako SAWA
44- na KUENDELEA
Hapa wapo wajane, waliozikimbia ndoa zao kwasababu ya changamoto mbalimbali kama manyanyaso, kutaperiwa na vijana kimapenzi wapo hapa waliojipata wakaona ndoa haina maana kwasababu anaweza kujimudu pekee kimaisha bila mume. Wakitaka uhuru wao
Wapo hapa wajane pia amba hawataki kuolewa tena wao wameamua KUISHI bila ndoa sababu wanaogopa kuolewa tena watoto wamekua ni aibu wapo wanaotafuta mtu huko nje ingawa hataki kuolewa tena wapo wenye wanaume wenye changamoto mbalimbali ambao hawapi haki ya kitandani kwa usahihi wameamua tu kujitafutia faraja huko nje ya ndoa ili maisha yaende ingawa wana ndoa tayari ila ndio hivyo.