ukiwa na watoto wa kike na wa kiume, anza kuwafundisha kuheshimiana kuanzia wakiwa wadogo, uwe macho nao na waweke kwenye mazingira ya kutozoeana sana na kaka au dada zao, kwasababu watu wengi mapenzi wameanza kufanya na kaka/dada utotoni hasa kuanzia wakiwa shule za msingi, sasa wakiwa karibu sana kama hisi familia za mijini, nakwambia wanakuwa wanafanya mara kwa mara hadi mtu anaoa/anaolewa ndo wanaacha....nimemwona dada mmoja wa rombo, ana miaka 35, hadi leo hii anafanya ngono na kaka yake, yeye amepanga chumba kimoja, lakini kaka yake anaweza akaja anapaki gari pale, anakaaa mle ndani hadi saa saba usiku ndo anaondoka, ukiingia unakuta kaka kajimwaga sana amevua shati yuko kifua wazi, na mazingira unaona kama vile mtu na mkewe jinsi walivyozoeana na walivyopendana.huyo dada hadi leo haolewi, nafikiri anajikumbushia vya utotoni kwa kujisevia kakake. TENGANISHENI WATOTO, WAWEKENI KTK MAZINGIRA KUMWONA KAKA/DADA YAKE KAMA MKWE..sisi kwetu, siwezi kabisa hata kumhug dada yangu, naona kama mkwe wangu vile,kuna mipaka mikubwa sana.