Kaka na Dada wapeana mimba

Alaaniwe yule alalae na "umbu lake yaani binti wa mama yake" Maandiko haya yapo ndani ya Biblia sipakumbuki. Hivyo ni makatazo tosha wala hatuhitaji kupindisha Katiba Hii ya Mwenyezi Mungu.

Wasilaaniwe kwani si binti wa mamake ni binti wa mamake mdogo kaka soma thread uielewe
 
Waulizen wakat wanafanya mech mbona hawajaomba ushauri jns ya kuzuia mimba au kuacha kabsa hzo ngono ndg! Aache shule!
 
alaaniwe yule alalae na "umbu lake yaani binti wa mama yake" maandiko haya yapo ndani ya biblia sipakumbuki. Hivyo ni makatazo tosha wala hatuhitaji kupindisha katiba hii ya mwenyezi mungu.

tell them!
 
Kipi cha ajabu hapo! Mbona kawaida! Hafu sio mtu na kaka yake.
 
Mkuu hii kitu kwenye biblia ipo ila sikumbuki ni wapi nishawai kutafuna ndugu siku hiyo nimejikalia sina hili wala lile nikasema ngoja nipitie biblia kidogo nikakuta inanionya kwa kwenda mbele siku hiyo ndio ilikuwa mwanzo na mwisho wa kutafuna ndugu
Ngoja nitafute maandiko kwenye baibo ndo naweza kulaani kubariki.

Tunaongozwa na biblia sio hisia za watu flani au jamii.
 
Ngoja nitafute maandiko kwenye baibo ndo naweza kulaani kubariki.

Tunaongozwa na biblia sio hisia za watu flani au jamii.

Ni MAMBO YA WALAWI SURA YA ISHIRINI MKUU. Soma taratibu utakuta mistari humo ,,kuhusu mke wa baba yako, dada wa mama yako, mke wa kaka yako mtoto wa shangazio.
 
. Duh! Hii kazi naoto sana aisee
 
hata ukiacha imani za kidini,utamaduni wa kiafrika hilo haliwezekani! Na ni ajabu! Ila wenye asili ya Kihindi na Kiarabu, hutumia dini kuhalalisha! Mi nimemkosa dada mmoja [kama 10 yrs sasa]ambaye ni wife material kabisa! Nilitembea naye mara nyingi akang'ang'ania nimuoe.Nikamwambia nyie ni kama ndugu zangu! We have family ties,though si blood related.. Wazazi wanafahamiana,na watoto wa huku waliweza kulala kule and v,versa. Hakukubali. Nikaoa mwingine.Ye sasa yuko states.Hajaolewa bado.
 
Sawa 2 KUOANA mbona hata WATOTO WA ADAM na HAWA walioana wenyewe kwa wenyewe.
 
Kikristo ni wapi walipokatazwa?

Naona sasa pepo la ngono linataka kunyanyua kichwa humu jamvini.

Shindwa pepo shindwa na hata ulegee!
Acha watu wa MUNGU wamtukuze Mungu na siyo wewe pepo mbaya!

Maana naona hata wengine wanadiriki kusema haina madhara mtu na mdogo wake wanapofikia hatua tajwa hapo juu!

MUNGU KWA KUWA UPO NA UTAKUWEPO,NAOMBA MUNGU WANGU WAPE WATU UFAHAMU WA KUKUJUA NA KUKUFIKIRI WEWE MUNGU MWENYE KUJUA MWISHO KABLA YA MWANZO!

Kwa kuwa Mungu najua unaweza sina mengi ila nitakutaja siku zote ya maisha yangu! Amen!

Kwenye kitabu cha Mwanzo mlango ule wa 24 na kuendelea hakika neno linasema ya kwmb "Na alaaniwe yeyote yule alalaye na Nduguye" Na watu waseme Amen!

Kwa kweli hili na huyu Kaka na Dada ni pigo sana kwa wana familia.
Lakini wakirudi katika hali ya Toba hakika MUNGU atawasamehe na awabariki na kuwapa Amani tele! Na tofauti na hapo hilo ni pigo kwao!

FF! Ntarudi baadae nikuambie neno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…