Eugene Matemu
Member
- Nov 2, 2011
- 7
- 0
Kwenye safina Nuhu na ndugu wachache walisalimika. Walizaliana vipi bila kuwa na mahusiano ya mapenzi ya ndugu na Ndugu?
kama ni mabinamu basi hamna tatizo maana waswahili wanasema "binamu nyama ya hamu".
Binamu nyama ya hamu.hao si kaka na dada, ni binamu
binamu kivipi?
Kwa waswahili ni tabu na itaonekana kioja
ila kwa waarab kawaida sana