Kawataja masela wake..sema hicho kikosi kinaweza fungwa hata na leicester..Wachezaji wote hao hawependi ku defend zaidi ya maldini tu..Nesta mwenyewe ni ball playing defender anapenda show off.!
Hahaa Kisa Messi hayupo
Kule upande wa kushoto kwa fundi najua kunawaumiza wengi (Dinho)
Timu nzuri sioni wa kutolewa hapo ili messi awekwe ila kama kwenye sub basi najua messi na yaya wapo.
Pirlo sio defensive kiungo aisee bora hata angemweka roy keane hapo afu kwa iniesta ndo acheze pirlo golini buffon anafaa zaidi kuliko dida sub ningewaweka messi scholes beckham kahn rivaldo desaily
Kaka ana kichaa itakuwa siku hizi
Dida acheze badala ya miamba kama Oliver Khan au Peter Schmeichel?
Mwenye mpira Massiah Messi anakaa nje?
Massiah Messi.. Anaufanya mpira chochote anachotaka.. Kiumbe wa ajabu huyu.