Kaka yake Mariah Carey amwita yeye ni shetani na mchawi

they say everything happen for reason ila hakuna alie kamili tunakoseana bana mariah carey kaniboa sana ata sitapata mzuka wa kusikiliza nyimbo zake ana roho mbaya sana huyu au ni freemason kwel maana mashart yao ni magumu sana dunia imechafuka hasa marekan ulimwengu wa giza.
cc everhurt, na mkubwa janja weed mko vizur kwenye muzik heshima zenu ndugu
 
Duh eti anahudumia mbwa wake kwa gharama kubwa. Duh amsaidie tu huyo dadake jamani vitu vingine vinatia huruma sana
 
Cc. Deception.

Mkuu njoo hapa umpe "ukweli" dadake Mariah!! Inaonekana bado hawajajua gonjwa hili ni feki.
 
am trying to imagine one being in her position and doing this..
kweli hata kama haumpendi unaouwezo kama yeye utashindwa kumsaidia nduguyo wa daamu?
ila atakuja kujirudishia mwenyewe ndipo atakaposoma namba
Najiuliza Tu kwa sauti, hivi akifa! Maria atakuja kwenye msiba!
 
Kuna watu wana roho ngumu hata kama mna ugomvi kalipie hospitali matibabu yafanyike na wala usiende kumwangalia kama hutaki, Huyo kaka mtu Aweke Namba ya Tigo Pesa tumsaidie chochote,
Kule hawana tigo pesa, kama unataka kutoa msaada nenda ocean road hospital, au kule kwenye kituo cha matumaini kuna wengi wanahitaji msaada.
 
Kule hawana tigo pesa, kama unataka kutoa msaada nenda ocean road hospital, au kule kwenye kituo cha matumaini kuna wengi wanahitaji msaada.
Duh! sawa sawa, ila huyu kaka kajilalamisha na kaongea kwa uchungu na kajitangaza ndo mana imekuwa rahisi, wacha niende ocean road siku ya kesho nifanye kama ulivyoagiza
 
Nilikuwa nampenda lkn bahati hii habari no more, no matter what unatakiwa kumsaidia ndugu yako.
 
Hamjuii mamboo ya nduguuu..kuna MTU namjuaa ameapaa.kuna kuongeaa hata kumzzika Dada akke..kkisa..Dada aliuza nyumbaa yya Familia a Na kuwadhulumu nduguzer walipomfuata hapoo tupoo njema Na kanunuaa jumbaa kwa Pesa ya kugawana akawajibuu kawafukueni marehemu kaburini ndoo wajje wawasaidiee..walimshukyru Mungu Na wanaendelea Na Maisha..ila no chochotee..sasa mamboo yamembadilikiaa nyumbaa si yaa.kupangisha Pesa zimeishaa anatumaa watoto waombee radhii..wamekataa huu mwaka Wa 7...ya ndugu msiyaingiliee..Obama health care IPO..au Clinton foundation..au anataka tu kumchafua Maria Carey Wangu????
 
unaweza kuta alikuwa anamuuza kwa vidume enzi hizo. ila watu weusi tunachukulia msaada kama haki.
 
unaweza kuta alikuwa anamuuza kwa vidume enzi hizo. ila watu weusi tunachukulia msaada kama haki.
mkuu hii comment yako nice I pendant "watu weusi tunachukulia msaada kama haki".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…