Kaka yake Mariah Carey amwita yeye ni shetani na mchawi

Mkuu hapana Mariah kazid imeniuma anavyospendi kwa mbwa wake
 
Eti mchawii huyoo kaka yeye si tupoo amsaidiee Mi Maria Carey sijawai kumuona live au kujuaa kivile but according to her songs the way she is..you can dare to say she Is a loving and caring person ....huwezi juaa alimfanyiaa nini pengine huyoo Dada turned to be a pimp to her those days who knows(ili neno pimp chukueni Dictionary sina muda Wa kufafanuaa kaka MTU kaniboaaa))
 
Duh....sasa itakuwaje......?......
Anasubiri dada yake afe aje amzike..
Lakini huu ni ugonvi wa wanandugu tuchukueni majembe tukalime mvua zinanyesha teh teh teh teh...
 
Mbona article imesahau kusema jinsi Mariah Carey alivyowasomesha Watoto wa dada yake wakati mama yao (Dada yake Mariah) anaangaika na madawa ya kulevya pamoja na mapolisi kutokana na kujiuza ... Pia imesahau kusema jinsi mtoto wa Dada wa Mariah alivyofanikiwa kusoma (kutoka na pesa za mama mdogo wake, Mariah Carey) hadi kuwa successful lawyer wa NBA ... Pia kuwa Mariah alikuwa akimpa Dada yake zaidi ya million per month kwasababu ya needs na Dada yake kuishia kutumia on drugs Also the real reason waligombana ni kutokana na Dada yake kutumia nyimbo yake Mariah kutangaza biashara yake ya prostitution mtandaoni nyimbo ya "Fantasy " ... We Tanzanians tusikimbilie kujudge watu bila kujua background zao ... Before you point your fingers to others, make sure your hand is clean!
 
Uzi wa zanani sana.all in all hata wewe hujui background yao zaidi ya hizo story ulizooata kwenye net,all in all amsaidie tu,akifa haina maana tena hata akijifanya imemgusa
 
Uzi wa zanani sana.all in all hata wewe hujui background yao zaidi ya hizo story ulizooata kwenye net,all in all amsaidie tu,akifa haina maana tena hata akijifanya imemgusa
Kaka yake amesema mwenyewe kwamba hizo ni false stories ... He aimed at selling information inorder to get money ... Kaka mwenyewe anamexploit mdogo wake, the worse part of all it was a time when she was going downhill.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…