Kaka yake Tundu Lissu avutiwa na Mayemba

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Kaka yake Lissu amesema amevutiwa na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Rose Mayemba na kwamba atamuingiza ndani ya familia ili kuunda udugu.

Ameyasema ktk mkutano wa hadhara Igungi jana. Mayemba mwanachama pekee wa CHADEMA aliongiza ktk kamati kuu na mwenyekiti akiwa hana cheo ndani ya chama.

Haijulikani kama atamposea mwenyekiti au mwengine hasa ukaribu na mwenyekiti na Mayemba

Picha. Mayemba akiwa ubavuni mwa mwenyekiti

Video ya kaka yake lissu imegoma kuapload

 
Walewale!!
Wanaanza kutia sumu kwenye chama
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ demu anampenda TL kinyama...

Tatizo elimu kisoda... Anyway, mradi anaeleweka, mengine mbele kwa mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…