Mwambie akafanye vipo kaka yako vya DNA,c kila ukitembea na mwanamke unasema mimba yako.Hata nyani wanafanana hata kuponza huyooo kaka yako na umalaya wake
Huyo mwanajeshi atawapiga risasi huyo mtoto, mkewe na wewe mwenyewe kwa wakati mmoja!~ Pata picha ugundue eti mke wako kazaa mtoto na mwanaume mwingine huku ukiwa ndani ya ndoa.