Kaka zangu jitahidini kuulinda uanaume wenu


Hippie...
 

Kama umekutana na komba, unamwacha alipe maana kuna akina dada hawana aibu, yaanai ukimwitia ofa anakunywa kama ndio mwisho wa dunia. Nakumbuka kuna mmoja alikumwa mkapa hakujitamua mpaka siku ya pili ................ sasa hapo ndio nini? ....... akiwa wenyewe hajawahi kulewa ...........:nono:
 
Njoo kwangu mi muhongaji mzuri sana.
 
Give a little, take a little, love is all about give and take people, if u love someone u'll be willing to give and not complain when someone wants to take a little from you.
 
Ishu c kuchuma, kuchimba wala kuvuna mapene tatizo ni kupigana mizinga inayokera na ni kwa wote wanawake na wanaume, ingawa ikifanywa na mwanaume inashangaza zaidi.
Kwann ishangaze zaidi kwa mwanaume? mi naona insue sio nani anampiga mzinga mwenzie bari ni kutokuwepo kwa free conversation ya jinsi ya kuendesha huo uhusiano,mra nyingi hii trend huwa inasababishwa namsingi(mwanzo) wa mapenzi yenu. May take NI BORA KUBORESHA ULICHONACHO KULIKO KUANZA UPYA as löng kinaweza kubadilishwa maana kila mmja wetu anamapungufu yake.
 

Umesema na kuhitimisha vyema
 
Kwani ajabu inakuwa wapi mwanaume anapomuomba mpenzi wake hela haliyakuwa mwanamke yeye anamuomba huyo mwanaume wake? Ninachotakiwa ni makubaliano baina ya wawili wenyewe.
 
Mmmmmh! Uchaguzi ulikuwa mgumu sana nimeuza nyumba na fenicha na nimekosa sasa nitaishije hapa mjini......msaada kwenye tuta jamani wadau
 
Ndugu, wewe ni Aristotle wa karine yetu, big up sana.:bowl:
 
mapenzi ni kupendana na sio kupenda,mi nafikiri kama mme pendana kila mtu ananafasi ya kumridhisha mwenzie kwa hali na mali
 

Dena,

Nafikiri bado upo kwenye wakati wa kizamani. Siku hizi kila mtu anatafuta hela na maisha kisawasawa bila ya kujali ni mwanaume au ni mwanamke. Hata ukiangalia, siku hizi hakuna tena kai za wanaume au wanawake, zote ni sawa.

Kama umebahatika kukaa nje ya nchi kidogo haswa kwenye nchi zilizoendelea, unapoalikwa au kukaribishwa outing hii haimaanishi kwamba mwanaume ndio analipa, kila mtu analipa kivyake na huo ndio utaratibu uliozoeleka.

Aidha, ni vyema wanawake wakaelewa kwamba hii kuzoea dezo au kuzoea kupewa vya bure ndio vinawafanya wawe ni watu wa kuonewa na kunyanyaswa. Lakini cha muhimu pia ni kuondokana na mawazo finyu ya kupenda vya mteremko yaani chuma ulete...!
 
Kwahiyo mwanamke tu ndo anastahili kuomba vocha kwa mpenzi wake?
 
Kweli kunya anye kuku akinya bata Kaharisha, wamekuweza kudadeki zako, huyo mwanaume ndiye anayefaa,. We dada kumbuka kuwa ukinyata nawe wanyatiwa, tazama nyuma utamuona anayekunyatia ukimbie

LAKINI HAKI NI SAWA KWA WOTE MBONA MENGINE MNAYAKATAA, AU USAWA WENU NYINYI NI UPI HUO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…