Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,371
hivi kuna wadada wanayafanya hayo?...ni wazimu ama, yaani unatoa hela mwanaume akakulale?....yaani hata yeye hela ya kulipia tena ni shughuli, hapana huo ni msalaba tosha.
Physiotherapist??
mambo ya condom kwa usalama wa mdada anatakiwa awe nayo, lakini hayo mapezni yenu mengine ya kulipiwa mpaka lodge hapana kabisa, mwanaume gani huyo...
Waume wengi wa siku hizi (sio wote) ndio maana tunawaita wanaume suruali mwanaume kazi kupiga mizinga mara nitumie vocha, au anakuita kukupa ofa halafu anasema mimi nalipia chakula vinywaji unalipa wewe, sasa uliniitia nini kama unaona huna hela. Acheni kujidharaulisha kaka zangu mwanaume mzima utamuombaje mwanamke vocha? nisiwafiche kaka zangu ni bora usimpe mwanamke hela wewe ukumuita mpe ofa ya nguvu kisha mrudishe kwao atakuheshim lakini wewe usiombe hela kwa mwanamke ni dharau kubwa mno hata kama huna kipato kikubwa mwanamke kakuzidi we jikaushe tu anaweza kukupa mwenyewe (NOTE: MWANAUME NI AIBU KUPIGA MZINGA NI MWIKO)
OHH YESSSS...MBONA WADADA TYPE HIYO MPO KIBAO...NA MIE NI MMOJA WA WANAOFAIDI ULIPIWAJI WA HUDUMA ZA SEHEMU YA KUFANYIA ZINAA....ahahahaha...INAPENDEZA SANAAAA..PESA YAKE, KALIPIA GHARAMA ZA KUKUNWA NAFSI YAKE ...NA KWA RAHA ZAKE...AHAHAHAHA..."WANAWAKE MKIWEZESHWA MNAWEZAAAAAA"
Anyway, Nashukuru nimeshapita umri wa kufanya hayo. Ila sasa wadada wamepitiliza. kwamba wakaka hawatoshi, au?
Mpwa aisee kuna tofauti kubwa sana ya kufanya mapenzi gesti na kufanya mapenzi nyumbani kwako Kaizer anaweza kuthibitisha hilo
nisaidie kushangaa dearest.
Baadae mnaanza kusema wenyewe "Yule mwanaume mbahili hata vocha ya 500 hajawahi kunitumia kwenye simu" utafikiri ameambiwa kuwa una share kwenye kampuni ya simu
Yeah maaan....!!! unapiga ile namba 8 wakisugua kipele G huyo atalipia tu.....Hujapata anayefanya kazi sawasawa ndio maana unaona unachoshwa tu mwili, ukikutana na anayeweza kuidunga G-spot kisawa-sawa, mbona utalipia Guest kila siku!
Du tunaishi ulimwengu tofauti sana, Kama unampenda Hata hauisi kwamba unalipa bill, but outing with some silent expectations (economically) Ni soo, Jaribu kutoka na Yule wa Moyoni uone..........Mwagombea Kulipa......................Mimi napenda kulipa offers.........
Nakaribisha watakao kulipiwa. 'Terms and Conditions apply'
😛layball:
halafu wewe mbona hujaningongea senksi kwenye hiyo yuziful posti?
Dadangu mambo yanabadilika hivi sasa. Suala la kutoa ofa si la mwanaume tu. Nyie wenyewe kila siku mnalia na 50 kwa 50. Sasa ukiambiwa tu ulipie vinywaji unapiga kelele. Je ukiambiawa ulipie guest na bado jamaa anakutafuna utafanyaje. Unatakiwa ubadilike lipia ofa kwa furaha
eeh....maty!
hapo kwneye red.....exactly thats the way to go...maadamu siku hizi hakuna kazi zinayobagua mwanamke ( and for that matter salary-wise), in fact kuna wanawake kibao wana earn kuliko wanaume..so hakuna excuse kwanini tusichangie bill,
Hapo kwenye green, hiyo heshima ya mwanamke kwa mwanaume ambaye anapendw akupewa vocha yeye, kupewa hela ya saluni yeye, mafuta ya gari yeye, kodi ya nyumba yeye apewe, ada ya mtoto wa shangazi yake yeye, ...kama kufanyiwa heshima ndo huko basi huyo heshima bora nisiipate.
halafu, hivi mnalilia usawa upi hasa ndo ninaposhindwa kuwaelewa
kama sualani kidude, si twapeana? kama utendaji kazi 'unashuka' kunako 6x6 basi hiyo ni issue nyingine lakini chonde2 msitumie vidude eti kutublackmail manake wengine hatudanganyiki
(hapa infidelity haihusu wajameni naongelewa 'ideal' situation)
Mwalimu Gaijin unaweza kusoma ila usichangie tafadhali. Asante
Kumbuka wanaume tuna mambo mengi makubwa ya kutake care kwahiyo mimi hata mke wangu au girlfriend akilipa bili naona ni poa tu kwani kuna sehemu imeandikwa wajibu wa kulipa bili ni wa mwanaume au ukilipa bili ndio unaonyesha uanaume wako well mmekuwa mkitaka usawa natumaini usawa una apply kwenye mambo kama hayo pia
Mimi sijakataa kwamba ni kweli mambo yamebadilika, usubiri nikuite nikupe ofa na nilipie mimi sio unaniita halafu unaanza kunipa mzinga. Na hiyo 50 kwa 50 ni ya kwenye majukwaa tu katika uhusiano hamna mwanaume anabaki kuwa mwanaume tu na lazima abebe majukumu yake
hapo mnajuaje makubaliano yao? inaweza kutokea kabisa, hata mie huwa nafanya mara moja moja nikiona hela haina mawazo namtoa mr outing, na kulipa mazaga zaga yote, mie bado cjawaelewa labda.
kula tano!