Kakaange Ugoro

Kakaange Ugoro

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Kilevi pendwa cha asili kinachotumiwa na watu wazima huko vijijini hapo zamani... Baadae kikaja kuwa umaarufu kwa wamasai na sasa ndio Kama fasheni kwa vijana wa kileo(maybe kutokana na vyuma kupata kutu)
Ugoro una mapishi yake... Sijawahi kuyaona na sijui wanatumia malighafi gani kuutengeneza....Ninachofahamu kuhusu ugoro ni kimoja.... Matumizi yake unaweka chini ya mdomo wa mbele kwa ndani halafu ni lazima uteme mmate mrefu mweusii tii.... Inachefua sana....

Nimeambiwa huko maofisini hata waheshimiwa ni wateja wakubwa wa hiki kilevi baada ya kuharamishwa kwa mmea na vijana wengi kukamatwa... Waheshimiwa wengi ni watumiaji wa mmea jani kavu lakini upatikanaji wake una mizungu mingi... Hivyo sasa kwakuwa ugoro haujaharamishwa wengi wameanza kuwa wafuasi...
Ugoro ni bidhaa ilikamilika kwa matumizi... Huwesi kuupika tena.....
Kakaangu anatoa tu ultimatum, b kujali cheo na nafasi ya mtu... Ultimatum za masaa 12, 24, 48, 72 na kuendelea...

Bobby haonekani... Kapotea ama pengine kapotezwa.... Imetolewa ultimatum imetolewa sharp kwa haraka! Duuu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115]..... TUNAKAANGA UGORO.... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
IMG_1844.jpg
 
Hivi doctor Jr Mshana kichwa chako huwa kinawaza nini? Tuanze hapo itapendeza zaidi.
 
Ugoro ni tumbaku chafu, inaleta kansa ya kinywa, ugoro ni kifo
 
Mshana Jr, Ngusujii,geji,mwaipaya,tope au dawa km inavyojulikana na wengi.
Kiki stati yake ni shida km hujawahi kuutumia!kuzima ni kawaida sana kwa watumiaji wa mwanzo.
Inasaidia kuacha sigara!au kupunguza.
Tanga,arusha,moshi na dar ina watumiaji wengi zaidi haswa wala gomba
 
Back
Top Bottom