Uchumi Wa Kiwandakhe! huyo naye ni mjasiria mali
Nakazia HapoBibi yangu ana miaka 100 naa ameanza kula ana miaka 14 na hadi leo yuko fit na ana meno yote
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ugoro a.k.a dawa, tope ni hatari sana.. 'Rizimu' yake ipo fasta, ukitia tuu mdomoni stimu zinapanda.. Jiloge umeze mate, tumbo na mwili vitakaa vibaya siku nzima..
Ni rahisi na salama kubeba, unatia ndani ya soksi au wallet.. Kutumia pia rahisi, unatizama kushoto kulia nyuma mbele unatia mdomoni, utajulikana kwa hayo mate utakavyokua unatema kama swila...
Kila kabila lina namna yake ya kutengeneza ugoro kulingana na malighafi ya sehemu husika ni kama ilivo pombe ya Gongo.Ugoro ni tumbaku chafu, inaleta kansa ya kinywa, ugoro ni kifo
Ukisema ugoro ni mateso basi na pilipili na tangawizi nayo ni mateso, lkn kuna watu wakikosa hawapat usingizi, elewa kuwa kuna watu ukiwambia awe anakunywa maji marakwa mara anaona ni mateso ya hali juu sana bora angeambiwa kutafuna huo ugoro.Ugoro sio starehe ni mateso ya hali yajuuuu. Mnaotaka kujaribu jaribu hakikisheni mpo karibu na Choo au Home tu kabisa
Wadogo zako Tanga huko nasikia wanatembea kbs na vibobo wamevaa shingoni...najifunza
Unatengenezwa kwa tumbaku ndugu. Ni utayarishaji unaofanya unaonekana hivyo.Nitafarijika zaid watakao kuja waniambie iyo kitu inatengenezwa na nin...?
Church time Mshana jr
Nilimuuliza babu yangu anapata ladha gani hakuniambia ikabidi nitest...Mm bibi yangu alikuwa anatengeneza huko morogoro kwa matumiz yake,naonaga anachukua tumbaku anaichanachana kisha anaikausha juwani then anatafuta chungu anaweka jikoni na ile tumbak.
Kile chungu hupata moto sana huku ndani kukiwa na tumbak,sasa kwakuwa ile tumbaku imechanwa chanwa hukauka sana na hatimae huisaga kwa kipande cha mti wake màalum.Nilimuuliza sana anapata radha gani pind atumiapo tumbaku lakin mpaka leo hakuna majibu sahihi
KulalekUgoroooo