Kumbe hadi kimombo kinapanda superstar..
Tehtehteh...basi unazidi kunikamata.
Kabisaaa dear!
Hewaala.
Hahaha hahaha hahahaI will buy you...
American budget times.Hahaha hahaha hahaha
How much .....
Dada wewe mjaze tuu
UsijaliUmeanza.
HuhAmerican budget times.
Shkamoo mkuuMkuu KakaKiiza,
Nakukumbuka sana tokea Jambo Forums, duh miaka imejongea sana.
Karibu sana tupo hapa, JF ndo sisi na sisi ndo JF.
Mimi pia naona majukumu yananizinga sana sasa ni muda mrefu lakini siwezi kuwaacha vijana wangu hapa huwa tunafanya Brainstorming za nguvu sana.
Superstar unamaanisha kubebwa mgongoni au kitandani na babe?
Superstar wangu acha kunipotezea jamaniii...
Mgongonii bana
Shkamoo mkuu
NdiwoooNiko hapa
Kwahiyo nitoe hongera etiii
Hongera sana kakakiiza kwa kutimiza miaka kumi na kitu jamaniii
We mzitoNibebeni na mimi
KhaaaaNakazia nakazia
Asante mkuuShukrani kwa heshima yako mkuu, karibu sana.