Kama amekataa hana njia nyingine ya kumlazimisha. Lakini aache tabia ya kumpekuapekua mumewe.Habari wanajamvi,poleni na wkeend. Katika pitapita zangu wkend hii nimekutana na mwanadada mmoja kwa maelezo anahitaji ushaur kabla mambo hayajaharibika. Huyo dada amekuta picha za utupu za wanawake kwenye kamera ya mumewe ambae alikuwa safarin kwa mwezi mmoja. Kibaya hizo picha zinaonyesha mazingira, vitu kama mabeg ya mumewe yanaonekana wazi. Amemuuliza kama kawaida amekana vibaya na kamera anayo huyo dada. Ushauri wanajamvi hatua za kuchukua .Nawasilisha.
Hapo kazi ipo!!!!
Hawaaminiani? Anatafuta nn kwenye vitu vya mumewe? Thats why I dont understand the role of vows people say during their wedding days.
Hivi camera ni vitu vya mumewe au ya familia???Kwanini kuangalia kwake ndo kuwe kavunja vows na sio mume kwenda kua na kufanya vituko huko????:twitch:
Natamani kungekua na sheria inayowanyima baadhi ya watu kuoa/kuolewa maana wanachofanya ni kusababishia wenzao maumivu ya moyo tu!Mechi za nje noma bora uwe mpole tuuuuuuuuuu
Natamani kungekua na sheria inayowanyima baadhi ya watu kuoa/kuolewa maana wanachofanya ni kusababishia wenzao maumivu ya moyo tu!
Mambo mengine ni kujitakia. Privacy is privacy!! Huyo mwanamke achague kuacha picha zikae ndani ya kamera au afanye uamuzi mwingineo atakaoupenda
Kama amekataa hana njia nyingine ya kumlazimisha. Lakini aache tabia ya kumpekuapekua mumewe.