mKUU KWA HILI NAOMBA NIKUPINGE... VITU KAMA CAMERA NI VYA WOTE... HEBU IMAGINE KAMA WATOTO NDIO WANGEKUA WA KWANZA KUONA HIZO PICHA ZA UTUPU, SI ANGEADHIRIKA ZAIDI?Mambo mengine ni kujitakia. Privacy is privacy!! Huyo mwanamke achague kuacha picha zikae ndani ya kamera au afanye uamuzi mwingineo atakaoupenda
Nilitaka kusema hivyo hivyo hapo kwenye red aache kabisa hiyo tabia atakufa siku si zake.:clap2:
Mambo mengine ni kujitakia. Privacy is privacy!! Huyo mwanamke achague kuacha picha zikae ndani ya kamera au afanye uamuzi mwingineo atakaoupenda
haiyaa sasa kwanini alimuoa kama bado anaufuska anaoufanya...umenichekesha eti asimpekue mie ntampekuwa mpaka kwenye ukope...si wangu lazma hiyo kumpekuwa mpenz wako abuy..
Weka picha tuzione zilivyo then tumpe ushauri... Inawezekana ni Muhudumu wa hoteli, si unajua hotel nyingine wanavaa vinguo kama kwenye "Maid in Manhattan"
Usithubutu, kama utakuwa unaipenda ndoa yako. Ndoa ni kama vein diagrams. Kuna area of intersection lakini hata hivyo sehemu fulani ya kila duara lazima ibaki yenyewe.
Hapana zitaleta kizaazaa zikiwekwa hapa, labda huyo dada anafahamika na wanajf? Au huenda ni ndugu yako, si itakuwa balaa!Weka picha tuzione zilivyo then tumpe ushauri... Inawezekana ni Muhudumu wa hoteli, si unajua hotel nyingine wanavaa vinguo kama kwenye "Maid in Manhattan"
Labda hiyo kamera alimuazima mtu mwingine wakati yupo safarini na ndio akapiga hizo picha! Umakini unahitajika katika kuhukumu kesi hii
the other side wanaume wenzangu. km nkeo ndo kasafiri karudi na camera km hivyo halafu unakuta picha za marijali hawana hata kitambi km wewe halafu wa vitu vya kufa mtu kuliko ya kwako ndo kawapiga picha na mabegi yake na panty yake inaonekana halafu unamuuliza mkeo anasema uache kumchunguza UTAFANYA NINI TUWE WA KWELI HAPA.