Hivi camera ni vitu vya mumewe au ya familia???Kwanini kuangalia kwake ndo kuwe kavunja vows na sio mume kwenda kua na kufanya vituko huko????:twitch:
haiyaa sasa kwanini alimuoa kama bado anaufuska anaoufanya...umenichekesha eti asimpekue mie ntampekuwa mpaka kwenye ukope...si wangu lazma hiyo kumpekuwa mpenz wako abuy..
Ndoa zina kazi!!Amuulize taratibu kwa upole labda atamwambia!Kama inaonyesha vitu vya mumewe vilikuwepo kwahiyo nae alikuwepo!Cha msingi ni kupata uhakika then aamue kama anaweza kusamehe na kusahau au kuachana nae!
Sijaona hapa mbona Nakoma na wanamama wa humu ndani haya jamani LD unanikuna na mabusara yako yaani mtu 1 kama 200 vile na busara thnx.
Mi jamani nashangaa sana, sina ndoa ndio lakini ni kweli kwamba kwenye ndoa kuna privacy ambazo ni very very hazitakiwi kuonekana na mke au mume? Na ikitokea zikionekana ni kosa? Jamani bora hata simu nitaelewa kwa sababu tuna chat nakutaniana na watu mbalimbali. Lakini camera kweli jamani, nayo ni siri tena yakuhifadhi madhambi kama hayo.
Mi nahisi wanaume na wanaweke wengine manalitumia hili neno privacy vibaya. Sijui nisaidieni ktk hili. Labda litanisaidia mbele ya safari.
apate uhakika gan?
ahh uhakika tayar
ni yeye akae awaze km anawza kumsamehe poa km ngumu asepe.fulstop.
nawasilisha
kwnye ndoa no prvac
ukiona mwenzako anahubiri sana kuhusu prvac ujue kuna jambo
km uko huru na unajiamin prvac itatokea wap?
Aisee Rose unaona haya mambo.
We have to think, Re-think, and think b4 we...........ndoa
Yani Rose acha, haya mahubiri ya Privacy, sijui reference yake ni kitabu gani.
Manake, nashangaa na wanawake wengine wanahubiri hivo hivo.
Wanadanganywa kwenye kitchen party za mitaani,private my foot,go have privacy with your mother not me!!!!nachukia sana hii mambo ya kila mtu ana simu mara kamera mara laptop yake......mwishowe utasikia hata hii pe......ni ya kwangu kaa nayo mbali.......l.o.l
Yani Rose acha, haya mahubiri ya Privacy, sijui reference yake ni kitabu gani.
Manake, nashangaa na wanawake wengine wanahubiri hivo hivo.
Aisee Rose unaona haya mambo.
We have to think, Re-think, and think b4 we...........ndoa
Habari wanajamvi,poleni na wkeend. Katika pitapita zangu wkend hii nimekutana na mwanadada mmoja kwa maelezo anahitaji ushaur kabla mambo hayajaharibika. Huyo dada amekuta picha za utupu za wanawake kwenye kamera ya mumewe ambae alikuwa safarin kwa mwezi mmoja. Kibaya hizo picha zinaonyesha mazingira, vitu kama mabeg ya mumewe yanaonekana wazi. Amemuuliza kama kawaida amekana vibaya na kamera anayo huyo dada. Ushauri wanajamvi hatua za kuchukua .Nawasilisha.

hii kali isee,
huyo mwanamke anapenda kujipa stress kwa kumpekua mumewe, yeye kazi yake ni kumpa vitu adimu mpaka mumewe asiwaze mpango wa nje!