:A S thumbs_down:
Camera iwe yake au ya mume kuangalia pcha kwani unakatazwa? Na kitu kama camera si watu wanatumia wote? huyo mwanaume ni limbukeni, kwani kutembea nao ni lazima awapige pcha hao wanawake halafu bila kujali anarudi home na mipicha yake, kha! Mwambie aingie kwenye internet atafute mwanaume mzur ambaye yuko uchi au kakaa hata beach ampige picha halafu na yeye akiulizwa akatae katakata.
Hivi camera ni vitu vya mumewe au ya familia???Kwanini kuangalia kwake ndo kuwe kavunja vows na sio mume kwenda kua na kufanya vituko huko????:twitch:
Ndoa zina kazi!!Amuulize taratibu kwa upole labda atamwambia!Kama inaonyesha vitu vya mumewe vilikuwepo kwahiyo nae alikuwepo!Cha msingi ni kupata uhakika then aamue kama anaweza kusamehe na kusahau au kuachana nae!