mwanzo wetu
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 1,581
- 462
Habari wataalamu, na tumaini ni wazima wa afya.
Leo nimeona kituko na nilikuwa sijajua Kama wadada au watu ni waoga wakujua afya za au kupima HIV.
Kimsingi kujuana afya wapenzi inapendeza Sana, hasa mda huu ambapo vijana Dunia imetuamini sana hivyo lazima na sisi tujiamin kwa kila Hali na njia ya Kwanza ya kujiamini nikuishi na afya njema, hakuna anaepanga malengo makubwa bila afya.
Lengo la kusema haya ni kuwa leo nimepata mtoto wa kisomali na ninautaratibu siwezi kusafiri altaleni bila kupima na mtu huwa lazima ni mcheki yeyote ndio angalau naweza kutafuna na mimi nikikosa vipimo ndani huwa hata siiti mdada aje tuchezeshe jembe na nyundo.
Sasa alipofika kwangu nikaomba apumzike kwanza, na hatua ya Kwanza iliyofuata baada ya kupumzika ilikuwa nikutaka kumpima afya yake,
Sasa kitendo Cha kuchukua kipimo ili ni mpime ni kama kachanganyikiwa ,akaanza kusema ameshapima mara kibao so yupo poa ? Nikasema na mm najua uko poa ila tucheki ndio mambo huwa mazuri Zaid, alivyoona namushawishi kupima akasema naomba nikakojoe afu nakuja nipime , Wala hakuludi Tena nikaanza kumtafuta uwani bila mafanikio.
Nikamchek kwa sm akasema nisimtafute Tena haikuwa kes nikasema poa. Sasa nawaza sisi vijna kwann tumekuwa wagumu kujua afya zatu je? Shida nn? Na haka kamdada ni umri wa miaka 17 ila mwoga kujua afya yake ?
Tunakoelekea siyo kuzuri Kama vijana tujenge tabia ya kupima Mara kwa mara ili kuepuka kuishi kwa hofu.